wanawake wasio na shukrani

wanawake wasio na shukrani

Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.

Asante kwa taarifa kuhusu demu wako. Je Mama na baba yako umewapa/zawadia nini?
 
Pole, hv mbona wapo wengi sana wahitaji kama watoto yatima, wajane nk. unatumia mali yako ili dem akupende? utakuja kujinyonga huyo anayeampendaye kwa dhati na si wewe
 
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.

Ukiona manyoya jua kuku kaliwa hakuna cha kujiuliza hapo mkuu tena mpige chepe saa saba kamili mchana hafai huyo!!!!
 
tena na hilo gari kalichukulie kazini kwake kabisa arudi home na daladala!!
 
Back
Top Bottom