Wanawake warefu wana raha yake.

vp kitandani haenei?
 
Daaaaah basi hatari.....after all me sio mfup wala mrefu.

Hahahahahahahahaaaa! Nimecheka sana! Hii difence inatumika sana na watu wafupi! Umenikumbusha mbali wallah!

Btw, nna kesi yako ujue!
 
Wewe mrefu wa futi ngapi?

intermediate mimi ..wanasema vice versa is true unasemaje kuhusu huu msemo mana wasichana wafupi hupendelea wavulana warefu.! wavulana warefu hupendelea wasichana wapupi kidogo at least wanaofika mabegani n.k.. kasheshe kwa wavulana wafupi sasa wao hupendelea wasichana warefu ili at least watoto wawe warefu kama mama zao sio mtoto akitumwa vyombo kabatini kwa juu mpaka aulize mama ile stuli iko wap? SO I DOUBT KWAKO. he heh heee yaliyomo yamoo..
 
Aaa mimi kwenye kitanda cha futi sita na lala diagonal.
 
Daaah ila wafupi tuna advantage....wawezaa kuolewa na yeyote wafupi kwa warefu. Warefu ni lazima watafute warefu wenzao
 
Daaah ila wafupi tuna advantage....wawezaa kuolewa na yeyote wafupi kwa warefu. Warefu ni lazima watafute warefu wenzao

Nani ka kwambia hivyo?
 
mimi napenda wanene ,bantu mizigo ile wembamba labda itokee tu cc Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Daaah ila wafupi tuna advantage....wawezaa kuolewa na yeyote wafupi kwa warefu. Warefu ni lazima watafute warefu wenzao
asikuambie mtu..team shotiii haifai!....wana maneno maneno saaana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…