Wanawake warefu wana raha yake.

Warefu wanataka wafupi yani aliye mpita hata angalao kidogo na wafupi wanata warefu. Hivyo ndivyo mungu alivyoumba
 
Heeee basi mie mfupi kwaiyo cjakidhi sifa uzipendezo......najua kupika mrenda tu na usaf.....bahati imenipita kando lol
 
Heheheeeeeeeee we mwanaume ndio umekuja nisemea uku
 
Heeee basi mie mfupi kwaiyo cjakidhi sifa uzipendezo......najua kupika mrenda tu na usaf.....bahati imenipita kando lol

Kwakweli huja fikia kiwango. Sipendi kuumiza moyo wango.
 
Kwakweli huja fikia kiwango. Sipendi kuumiza moyo wango.

Na unavotapatapa lazima uambulie koroma we mwanaume. .....na we utakua mfupi koz watu wafup wanamatatizo sana
 
Na unavotapatapa lazima uambulie koroma we mwanaume. .....na we utakua mfupi koz watu wafup wanamatatizo sana

Hahaaaaa duh! Mimi sio mfupi banah kipenzi changu.
 
Kwa hiyo ukiwazaa watoto wafupi hautawapenda? Vipi wewe kama ungezaliwa mfupi? Ungejiua?
 
Kwa hiyo ukiwazaa watoto wafupi hautawapenda? Vipi wewe kama ungezaliwa mfupi? Ungejiua?

Dah! Hasira ya nini ndugu? Kupenda nipende mimi halafu unachukia nini.
 
Napenda wanawake warefu. Ni wazuri sana. Mwanamke mfupi kwangu itokee tu[hilal kipozeo voice] ila kutoka moyoni mwangu napenda wanawake warefu.
 
Mtu akiwa na sentimeta 172 anaangukia kwenye ufupi au urefu?
 
Wafupi wanataka warefu na warefu wanataka warefu wenzao...lazima wafupi wapate tabu hapo....

afu kuna wanaume wanalingia sana urefu wao...mdogo wangu alikuwa na jamaa mrefu alikuwa ananata hakuna maelezo...walipoachana ndio kuna siku anatuambia alishawahi kumwambia eti...'umezidi ufupi'....kha...watu wanavumilia mengi....mdogo wangu mwenyewe si mfupi ila jamaa ni ashim thabeet type kwa hiyo piga ua utakuwa mfupi kwake...

Kwa kujiamini huko alikuja pigwa chini mpaka leo ahamini..mdogo wangu keshaolewa na mwanaume asiye mrefu wala mfupi...size yake...yeye kabaki na urefu wake anag'aang'aa mimacho...
 
wewe ni kama mimi, I am tall and I like heels. Ila my man ni mrefuuu, so sipati hizo tabu. Ukiwa mrefu na usafiri mzuri, ulionyooka vizuri, na ukivaa heels na kimini... we unanogaje? heels na min zao ni warefu bwana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…