Ahahaaaa wewe kweli una kisirani cha kuachwa au kutokubaliwa. Pole sana maumivu yakizidi muone daktari. Utakufa bureee na kijiba cha roho.shortly.mpo hivyo wazembe hakuna mnacho jua ndy maana mnaongoza.kwa kuachika.hamdumu.kwenye ndoa
Reo = Leo
Bola = bora
Zarau = dharau
Pole shemeji achana nao wasikuchoshe
Mentality ya uchepukaji tu. Kama ungekua umeoa "mvidunda" ningekusupportww hujui.mwanaume ni kama chama cha siasa bila upinzani akiimariki? au hujui
Mimi ni mfupi na mweusi kama chunguna ww mweupe alafu mrefu?
nashukur kwa pole yako bas mmbadirike mlinge angarau.na kitandan mjitumeAhahaaaa wewe kweli una kisirani cha kuachwa au kutokubaliwa. Pole sana maumivu yakizidi muone daktari. Utakufa bureee na kijiba cha roho.
sasa mbna umepanic saana nkahisi na ww muhanga kumbeMimi ni mfupi na mweusi kama chungu
Rangi, na urefu wa mtu vinahusianaje na kitandani? Basi wazungu wote wangekua hamna ki2. Maana wengi ni warefu na ni weupe wale sio weusi. Beyonce ana rangi gani?nashukur kwa pole yako bas mmbadirike mlinge angarau.na kitandan mjitume
Sijapanic ata chembe.sasa mbna umepanic saana nkahisi na ww muhanga kumbe
wazungu kasoro yao hawana joto alafu.kakuambia nani wazungu warefu? au na ww umekurupuka? nsameh dada kwa kukuchokonoaRangi, na urefu wa mtu vinahusianaje na kitandani? Basi wazungu wote wangekua hamna ki2. Maana wengi ni warefu na ni weupe wale sio weusi. Beyonce ana rangi gani?
Hivi hii ndio vile unasikia mtu anakithembe auReo = Leo
Bola = bora
Zarau = dharau
Pole shemeji achana nao wasikuchoshe
tatizo hujui maana ya takwimu ww mrefu huna zarau ni wwSijapanic ata chembe.
Ila acha upotoshaji
Takwimu umeifanyia limpopo majibu unakuja kuleta Tanzaniatatizo hujui maana ya takwimu ww mrefu huna zarau ni ww
JF.hata kwa trump.wanasoma dada.yangu ulale umwombe mungu wasikuteke ukiona noha na watu.kimbia maana huki TZ wanateka kweli dada anguTakwimu umeifanyia limpopo majibu unakuja kuleta Tanzania
Sipo daslamJF.hata kwa trump.wanasoma dada.yangu ulale umwombe mungu wasikuteke ukiona noha na watu.kimbia maana huki TZ wanateka kweli dada angu
tanzania nzima ni kutekana tyuuuu ukiona noha kimbia mm nakupenda dada yangu.uwepo.wako.unafaida kwanguSipo daslam
Ahahaaaa jameni.tanzania nzima ni kutekana tyuuuu ukiona noha kimbia mm nakupenda dada yangu.uwepo.wako.unafaida kwangu
aaah nashukur dada yangu maana hari.syo nzur.naogopa hadi kwenda songea kumwona mama naogopa kutekwaAhahaaaa jameni.
Asante kwa ushauri kaka.
Kwa hisani ya FaizaFoxy😀Mwalimu Evelyn Salt katika ubora wake.
Hata mimi napenda hiyo rangi nyeupekiukweli mwanamke mweupe anasoko sana kuliko mweusi