Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Uwe na pesa,usiwe na pesa Mwanaume atabaki kua Mwanaume tu!! Mimi hata mke wangu ashinde biko bado Mimi nitakua Mwanaume tu,pesa yake haibadilishi uwanaume wangu hata siku moja!! Nawakumbusha Wanaume wote msikubali kujipa unyonge mbele ya mtu aliyepewa kichwa kimoja tu,wakati wwe Mwanaume umepewa vichwa viwili, kimoja cha kufikiria na kingine cha kutia akili!!
 
Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!


MANHOOD kutoweka kwenye jamii" nchi za ulaya zimeshaathirika sana na hali hii,
- wanaume wengi hawahitaji tena ndoa.
- Baadhi ya wanawake nao baada ya kuona ndoa adimu hata boyfriend tu hawataki.
Hii imepelekea hawataki hata kuzaa.
Upweke unazidi kuzikumba hizi nchi.

IPO SIRI KUBWA KWENYE WAZUNGU KUPENDA MBWA HATA KULALA NAO VITANDANI MWAO.

Hivi sasa baadhi ya nchi za ulaya birth rate imepungua sana. Hivyo nguvu kazi pia inapungua pia.

Na sisi tutaelekea huko ikiwa hatutaidhibiti hii hali mapema, na sisi kwetu itatuathiri zaidi kwani mataifa yetu bado ni masikini sana.
 
Jana ulisema mwanamke ndio yupo responsible kulinda ndoa, hatakiwi kukosea na mumewe akikosea ni lazima amsamehe
 
Hakunaga haki sawa. Hiyo ni mbinu inayotumika na dunia kuhubiriwa kuharibu jamii
Na kibaya zaidi siku hizi hata wanaume wanadai haki sawa
Haki sawa haitakaa iwepo, we have dix and thats what make the major differences. Mwanamume kuwa imara pia it takes malezi proper. If boys are raised to be men huwezi kuta magoigoi.

Sasa nyie endeleeni kuwapangia akina Davis ratiba za kuosha vyombo na kukaa kaa jikoni halafu muone balaa lake. Treat your boys waweze ku behave like men huko mbeleni.
 
Haya ndio maneno
Wanaume msiuze wala kuisaliti nafasi yenu mliyopewa na Mungu. Kumpa mwanamke nafasi yako kwenye nyumba ni sawa na kumchukua mtu ambae hajawahi endesha gari na kumpa bus la abaria awasafirishe kwenda mikoani
 
Mungu aingilie kati tu aisee! Hawa viumbe ni hatari.

Hatari mno ukizembea mahali kidogo kwisha habari yako. Kuna baadhi ya watu hawajui mambo ya kuyafanya/kutofanya on public na mengine ya kutofanya kabisa. Sasa wanawake wapumbavu hufanya yasiopaswa kufanywa tena wanayafanya hadharani kabisa pumbavu zao.

Kuna siku nilikuwa na mpenzi wangu mahali tumekutana tukawa tunapata dinner(kabla tulikua tumepishana), tukiwa tunakula akaanza kuongea pale na jirani kuna watu wanasikia na nilijua hilo kwa kuwa hata sisi tulikuwa tunawasikia. Nilichokifanya kabla hajafika kwnye main point nikamkatisha nikamwambia hapa sio mahali pake kuyazungumza hayo, akutaka kunielewa akafosi kuendelea nikamwambia ishia hapo hapo hapa sio mahali pake au nikupe mic na spika ufanye matangazo? Akaanza kulalama oh mara upendi tuwe na amani nikamwambia naipenda amani sana ila sio mpaka kila aliepo hapa ajue kinachoendelea kati yetu, we are not trading our problems.

Sio kila kitu kinafanyika popote tu sio busara
 

Davis anakusalimia uncle🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume wengi wamekwama pale tulipoaamini silaha ya Mwanaume ni pesa! Na ndiyo maana Mwanaume akikutana na Mwanamke mwenye pesa eti anajiona Kama siyo Mwanaume tena! Huo ni Ujinga wa juu sana!!
Huwa nawaambia kila siku humu, utasikia tafuta pesa...mwanaume pesa. Nikiona mwanaume anaongea hivyo huwa namdharau sana, mwanaume mnajishusha sana thamani siku hizi...yaani mnataka kusema ninyi sio kitu hadi mbustiwe na pesa? Bure kabisa
 
Mwanamke mwenye dharau kwa mume maana yake anaenda kufundisha watoto wake wa kike tabia hio hio ya kudharau wanaume hata wakiwa wakubwa wataishia kuwa wanyanyasaji.

Wale 99.9% wamerithi tabia za mama yao kuna kipindi nilijenga ukaribu na mmoja aise nilikoma, hawapatani na ndugu wa baba hata mmoja.
 
Tunatengeneza sheria za kutaka mwanamke afanane na mwanaume.
Tunapuuzia kujaribu kufikiria ni kwanini binadamu wa jinsi ya kike wanazaliwa wengi zaidi kuliko wa kiume.
Tunapenda kuiga kila idea za ulaya hata ambazo zimefeli.
 
Huwa nawaambia kila siku humu, utasikia tafuta pesa...mwanaume pesa. Nikiona mwanaume anaongea hivyo huwa namdharau sana, mwanaume mnajishusha sana thamani siku hizi...yaani mnataka kusema ninyi sio kitu hadi mbustiwe na pesa? Bure kabisa
Amini usiamini,, nguvu ya uchumi ya mwanaume ndiyo inayoenda kuleta heshima kwenye jamii.
Tafuta pesa mdogo wangu. Ukiwa hauna pesa utaambulia dharau nyingi kutoka kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…