Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Wanaume wengi tumejaaliwa hekima ila mbele ya mwanamke mpumbavu hekima huonekana kama ujinga na ulalamishi. Huwa tunajitahidi sana kuishi vyema na nyie ila ndio hivyo sikuhizi maisha ni pesa na mwanamke akiwa nazo tu haambiliki.

Mkuu umeongea point ya msingi mno, unaishi na mtu kwa upendo wa hali ya juu unamuonesha mapenzi ya kweli na uaminifu. Akikosea ukimwambia kwa upendo anasema unamfokea, kila unapojaribu kumuandaa kuwa mke wako na sio slay queen wa kupita ukumuelekeza anasema unalalamika, mgomvi n.k. Unapambana mwanaume unamhudumia akikutafuta ukiwa busy usiporespond on time au ukiomba umtafute baadae anaanza kusikiliza maneno ya kusikia kwa mashoga zake anaanza kukwambia una wengine [emoji51][emoji51] kosa hela sasa apo ndio utajua mapenzi na pesa ni kama maisha na pumzi ikikata ndio utaoneshwa kila rangi [emoji1]
 
Mungu aingilie kati tu aisee! Hawa viumbe ni hatari.
 

Kwa muonekano jamaa ni mpole na yale maneno ya mkewe yakamfanya anywee tu hakuwa na namna ila nilijiskia vibaya sana mwanamke akiwa juu yako pesa huna alafu ni mpole kama huyu jamaa hakika maisha yako yatakuwa ni mateso matupu.
 

Mwanaume ndani ya nyumba anahitaji heshma yake ili mambo yaweze kwenda. Kumdharau mwanaume tena mbele za watu inaweza kumuathiri kiasi kikubwa sana na kubadlisha kabisa mfumo wake wa maisha.
Mwanamke akishaanza kumjibu mwanaume kama hivyo hakuna tena mume na mke katika nyumba ila kuna mwanamke na mume
Wanaume msiruhusu hii kitu maana athari zake huwa haziishii kwenu, mama akiwa ndio mlezi namba moja wa jamii kwa hili anaharibu hadi kwa watoto na wajukuu ambao hawana adabu wala heshma
 
Wanaume wengine wapumbavu tu.
Usiogope kuanza upyaz, na kuanza upya sio ujinga.
Mwanamke asipokuwa na nidhani hata mzuri kama nini still nitamuacha tu iwe isiwe.

Au atakuwa kachanganyiwa dawa(limbwata). Mwanamke mwenyewe bora hata angekuwa mzuri, yani ni mbaya kama roho yake.
 
Kwa muonekano jamaa ni mpole na yale maneno ya mkewe yakamfanya anywee tu hakuwa na namna ila nilijiskia vibaya sana mwanamke akiwa juu yako pesa huna alafu ni mpole kama huyu jamaa hakika maisha yako yatakuwa ni mateso matupu.
Wanawake sometimes wanahitaji mtu wa kuwatia vibao. Ukimuendekeza sana anakupanda kichwani.
 

Kuna baadhi ya wanawake wakibarikiwa pesa zaidi ya waume zao ni hatari zaidi hata ya shetani, kuna mama mmoja naye ni hivi hivi alafu mbaya zaidi ana watoto wakike watano ni mmoja tu ambae hajashika tabia zake nawaonea huruma watakaoa kwenye hiyo familia.
 
Ha Haya mambo ndio yanasababisha watu tusiopenda ujinga tuonekane violent. Mwanamke asiyejua kutumia mdomo kwa hekima ni kama kaa la moto utosini mwa mume. Huondosha asili kabisa ya mwanaume kwa kumgeuza ndondocha.

Sie tusiokubali kukaliwa hugawa kichapo tu kuweka rekodi sawa.
 
Mwanamke mwenye dharau kwa mume maana yake anaenda kufundisha watoto wake wa kike tabia hio hio ya kudharau wanaume hata wakiwa wakubwa wataishia kuwa wanyanyasaji.
 
Usipige mtu mzima. Usije mgusa tuu akajifia ukafungwa maisha
 
Wanaume msipoteze nafasi yenu aliyowapa Mungu, msiruhusu hii kitu inaharibu sana jamii
Kwa namna yoyote Ile mwanaume lazima aheshimiwe na mke wake
This is something that has to be preached upon. Sio ule ujinga wa haki sawa kwa kigezo cha ku undermine wanaume at all costs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…