Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Hi guys,
Sijawasalimu siku nyingi wacha tu Leo niwasalimu,
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu wenye vijitabia hivyo nawakumbusha tu aiseeh' waachane navyo maana vinaboaa!
Kuna hii tabia hasa naona hawa warembo wa sahii ndiyo wamepamba nayo moto khatari, hivi huu ujasiri wadada wa kuwajibu ovyo waume ama wapenzi wenu mbele za watu mnatoa wapi?
Good Lord! Vidada vya sikuhizi havina kheshima jamani mpaka kero.! Yaani unakuwa pahala mpaka pa kuweka uso wako unakosa, kama ndiyo upo ugenini unatamani kuaga.!
Yaani huwa naishiwa pozi mpaka wakati mwingine nalazimika kutoka nje maana najiskia vibaya sana, nawaza tu Mimi nahisi vibaya hivi, je huyu nwanaume wa watu maskiini! Walaqhi' you guys are passing through hell uwiiih'.. Naanza kupunguza kuwahukumu kuna mambo sisi wanawake ndiyo chanzo, vile nisivyopenda mtu anidharau halafu naona mwanaume, Baba, Kichwa cha familia anadhalilishwa kiasi kile mbele za watu, yaani mwanamke hajali kuna watoto ama mgeni, anaropoka tu neno lolote linalomjia kinywani, wanawake wenye hii tabia kuni yenu inachochewa, mlivyoambiwa 'watiini waume zenu' hamkuambiwa bahati mbaya..!
Hivi ni kizazi gani kinatengenezwa sahii.? Ni ukosefu wa malezi? Ni hizi pesa wanawake wanazomiliki? Ni wanaume kuna mahala mnafeli? Ama ni gani.? Hii kiburi na jeuri wako nayo wanawake wa sahii ni ya dunia nyingine, wametoka nayo wapi, maana khali ndiyo inazidi kuwa mbaya, yaani inafika pahala you can't differentiate the two, hujui here who issa husband, who issa wife maana wote wamemea pembe!
Naomba niachie hapa sintomaliza, Wanaume ni lazima mfanye jambo haqyamama, Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much!