Wanawake wanavyoivaa Mikenge kwenye ndoa………!

Unadhani watu wanaowaimbia wasichana watafute opportunity ya kuolewa ni wajinga?

Jaribu kusoma biology ya wanawake halafu utakuja kutuambia!!

Babu DC!!

Babu heshima yako.

point yangu ni kwamba hata kama unataka kuolewa, basi tafuta taratibu mwenye vigezo, usikurupuke mambo yakaja kukuelemea mbele ya safari, alafu unaanza kusumbua familia na vikao vya suluishi visivyoisha. I hate it.
 
Cantalisia,umeniacha hoi na mbavu sina,na umenikumbusha mbali,wakati nakua pale mtaani kwetu kulikuwa na kidume wa acha tu.Kilikuwa kinatoa breaking news kila kik-do,ilikuwa either mdada atoe haja kubwa au atoke mbio bila chupi au nguo zote maana ilikuwa shughuli.Bahati mbaya kale kaugonjwa nako ndio kalikuwa kanakuja kwa kasi na maumbile yale hakuchukua muda mrefu tulimzika kwenye "mfuko wa rambo".
Riheso muhumu jaman,
Msifanye mchezo na haya mambo atiii!
 
tena mimi ndio sahau baba. Labda canta atalegeza moyo. Mimi hayo makitu siyapendi.
Sisy,nilegeze wapi!!!!

Mie nishaolewa na Rejao mdingi huku anasubiri mahari,
Wakati mahari yangu nishachukua mwenyewe na kuimalizia kwa sonara lol!
 
tena mimi ndio sahau baba. Labda canta atalegeza moyo. Mimi hayo makitu siyapendi.

Sasa nani atanilipa fidia ya kukuleta hapa Duniani?
tangu uvunje ungo, hata advance sijapata.......................................LOL
 
Sisy,nilegeze wapi!!!!

Mie nishaolewa na Rejao mdingi huku anasubiri mahari,
Wakati mahari yangu nishachukua mwenyewe na kuimalizia kwa sonara lol!
Weweee, mimi sijawahi kudhulumiwa....................Nitamwendea LAMU kwa MASHARIFU, kama hajaja kwangu kwa magoti, wacha mchezo wewe..............!
 
Babu heshima yako.

point yangu ni kwamba hata kama unataka kuolewa, basi tafuta taratibu mwenye vigezo, usikurupuke mambo yakaja kukuelemea mbele ya safari, alafu unaanza kusumbua familia na vikao vya suluishi visivyoisha. I hate it.

Sawa,

Ila hata ukipewa miaka 100, huwezi ku-handle risks zote zinazohusiana na hayo mambo...

Ndo maana wenye uzoefu wao wanashauri watu waingie tu na kuacha nature ifanye kazi yake!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom