Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

Mkuu naona umechambua wanawake wa kwenye tamthilia za kifilipino

Wa huku magomeni kwetu mkwanja tu na mkwara wako ndo sifa kuu
Hivi kweli mkuu hatuwezi kupata wanawake wa aina hii walau 10 ktk nchi nzima?
 
Umezungusha maelezo sana Ila mwanamke mpe huduma yan avae vzuri ale vizuri mkule vizur pia mthamini hapo umeua hayo maelezo utaenda kuwapa notes darasa la 7B
 
Umezungusha maelezo sana Ila mwanamke mpe huduma yan avae vzuri ale vizuri mkule vizur pia mthamini hapo umeua hayo maelezo utaenda kuwapa notes darasa la 7B
Tusubiri wenyee waje mkuu
 
Lakini wanawake wa kizazi hiki hata uwasifieje bila kuwapa pesa ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom