Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

1-Unajua wanaume wengi wa bongo hawajui kujali,yaan pesa mpaka umuombe hawez toa tu ili nawe ukapendeze,
2-wengi sio wasafi wananuka vikwapa,mdomo,mwili unakua na harufu ya ajabu ajabu japo na wanawake inawagusa hapa
3-kuna wanaume hawajui lugha ya upole ya ukarimu yaan yeye ni dharau tu na majivuno,pia kuamin maneno ya watu bila kuchunguza

Mim hua vinanikuna vitu hivi vitatu,wanaume wengine wanakera jamani, tunawatangulizia pesa tu kwani wanatubinuaga mno kila aina ya sarakasi,

Ni rahisi sana kufahamiana kupitia mabandiko yetu. Upo ryl hongera.
 
Wanavutiwa na mkwanja tu,hamna kingine,hata kama wewe ni -------,lakini una mkwanja watakumaindi kama kawa.ishu ni pesaaaaa,watu wataandika mengi jibu wanaliacha.
 
Hayo ni baadhi ya mambo tu ila kubwa kuliko ni kumuomba mungu kwani unaweza kumfanyia yote mpaka mkwanja lkn akakuchezesha gwaride mpaka ukasema ndio mzee! Mi nafkiri kama kunalimbwata special kwaajili yao ingefaa sana.
 
[h=4]Qualities Which Women Are Looking For in Men[/h] The tale goes, that on a certain day, Abd-el-Melik ben Merouane, went to see Leilla, his mistress, and put various questions to her. Amongst other things, he asked her what were the qualities which women looked for in men.

Leilla answered him: 'Oh, my master, they must have cheeks like ours.' 'And what besides?' said Ben Merouane. She continued: 'And hairs like ours; finally they should be like to you, O prince of believers, for, surely, if a man is not strong and rich he will obtain nothing from women.

Source: The Perfumed Garden: Chapter 1: Concerning Praiseworthy Men
 
C kila unachofundishwa kitakusaidia. Swala la mapenz halina mfumo. Na zaidi ukitengeneza mazingira ya kupendwa daima hutofanikiwa ktk penz la kudum.. Mapenz ya sasa yapo kifashen zaid sitaki kuamini kama pesa ndio dawa mbadala yakumiliki penz ama mwanamke wakudum maishan, na kwamba mwanamke anapenda pesa tu la hasha. Jiulize kwanini matajiri na wenye pesa ndoa zao zinawasumbua? Nakwanini hata ndoa za kifahari hazidum? Kaz kwenu wenye pesa

tell them
mi nimeshawaambia pesa sio kila kitu
 
tafakari gani tena mkuu? hebu tumegee kidogo.

Umeandika hii mada kwa uzuri kabisa mkuu, lakini ajabu watu wanaweka kejeli...

Dhana ya jinsia moja kuvutiwa na jinsia nyingine mara zote huchagizwa na sababu ambazo sio 'material'...

Sasa naona kuna watu hapa wao wanaamini ni pesa pekee ndio huleta mvuto jambo ambalo si sahihi...
 
Umeandika hii mada kwa uzuri kabisa mkuu, lakini ajabu watu wanaweka kejeli...

Dhana ya jinsia moja kuvutiwa na jinsia nyingine mara zote huchagizwa na sababu ambazo sio 'material'...

Sasa naona kuna watu hapa wao wanaamini ni pesa pekee ndio huleta mvuto jambo ambalo si sahihi...

ni kweli kabisa mkuu, kuna mwanamama mmoja ambaye mume wake ni tajiri wa kutisha, lakini alifumaniwa akichakachuliwa na kondakta wa daladala. umeona eeh?
 
Umesahu mkuyati wa kufa mtu pia huwa wanpenda sana kama huamini nenda tandale na "makota bar" pia na sinza corner bar.
 
Qualities Which Women Are Looking For in Men

The tale goes, that on a certain day, Abd-el-Melik ben Merouane, went to see Leilla, his mistress, and put various questions to her. Amongst other things, he asked her what were the qualities which women looked for in men.

Leilla answered him: 'Oh, my master, they must have cheeks like ours.' 'And what besides?' said Ben Merouane. She continued: 'And hairs like ours; finally they should be like to you, O prince of believers, for, surely, if a man is not strong and rich he will obtain nothing from women.

Source: The Perfumed Garden: Chapter 1: Concerning Praiseworthy Men

Yes this is FaizaFoxy i know
 
Umeongea ya msingi sana mkuu. Let me save this page directly, ntakua napitia mara kwa mara kujikumbushia. Thanx!
 
kuna hili swala la msingi xana la 'kusema UWONGO'ni wengi wamenufaika xana na hili. ikiwa wewe ni mwongo basi haya mengine ya sijui pesa, kujitetea, kumsifia, malengo yanakuwa hayakupi tabu xana mtoto wa kiume. hivi unawezaje kujiita wewe ni mtanashati wakati unajua kipato chako cha kununua nguo nadhifu huna?, utamhakikishiaje kuwa unamalengo ilihali unajua malengo uliyoyatazamia yamebuma muda si mrefu? utatokaje kwenda kupiga story na marafiki zako wa kiume wakati yeye anahisi una msichana mwingine unamfukuzia ?utamthibitishiaje kuwa unamthamini bila kumdanganya kuwa una muwaza hata kama unawaza maisha zaidi kuliko yeye.gosh!!.chamsingi ni kuwa usiutazame uwongo kwa mabaya yake bali mazuri yake.

 
Back
Top Bottom