Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

Mke mwema hutoka kwa Mungu tu, mme mwema nae hutoka kwa Mungu tu, zaidi ya hapo ni maumivu ndugu zangu.
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu tu, mme mwema nae hutoka kwa Mungu tu, zaidi ya hapo ni maumivu ndugu zangu.

mke mwema ndio anatoka kwa mungu ila mme mwema anatoka crdb, nmb, airtel money, mpesa, exim bank, tigo pesa na bureau de change.
 
KUJALI

Wanawake wanapenda sana wanaume wanaojali. Wanawaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mjali mpenzi wako kwa kila hali.
Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa sana ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai.

MUHIMU SANA HII KITU
 
C kila unachofundishwa kitakusaidia. Swala la mapenz halina mfumo. Na zaidi ukitengeneza mazingira ya kupendwa daima hutofanikiwa ktk penz la kudum.. Mapenz ya sasa yapo kifashen zaid sitaki kuamini kama pesa ndio dawa mbadala yakumiliki penz ama mwanamke wakudum maishan, na kwamba mwanamke anapenda pesa tu la hasha. Jiulize kwanini matajiri na wenye pesa ndoa zao zinawasumbua? Nakwanini hata ndoa za kifahari hazidum? Kaz kwenu wenye pesa
 
Bhaaaas! Na wala si Migomigo tu. Mkwanja kwa asilimia kubwa sana (90 na kitu) ndo kila kitu popote pale, kuanzia Uswazi, daraja-kati, hadi Ushuani.

Wapo wataojishaua na kujifanya mkwanja si kitu lakini hayo ni mashauzi tu. Mbele ya mkwanja ni wachache sana wenye kuleta za kuleta.

Ila ndo hivyo tena...ukiisha na wenyewe wanapukutika kama majani ya mti kwenye msimu wa kupukutika majani (autumn).
Kweli mkuu watu wanaleta theories nyingi mno wakati mambo makuu mawili ndio yanayowavutia wanawake

kama huna PESA na jifunze kuwa na MIKWARA tu hakuna kingine
 
Mi wangu anapenda mtu anayemzaba vibao vya kufa mtu na mangumi ya maana kwani kwake huo ndo upendo wa kweli.
 
Mchangiaji mmoja amesema mume mwema anatoka crdb,mpesa,tigopesa,na kadhalika lakini amesahau tra nako WaPo wanaume.
 
KUJALI

Wanawake wanapenda sana wanaume wanaojali. Wanawaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mjali mpenzi wako kwa kila hali.
Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa sana ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai.

MUHIMU SANA HII KITU

Wengine ni sumu kwao hii, simu yenyewe hadi uanze ww kumtafuta, kumbembeleza ndo ziro kabisa, kujua mendeleo yao ni div 5, waume wa aina hii ni hasara kwa taifa langu na ulimwengu mzima
 
Wengine ni sumu kwao hii, simu yenyewe hadi uanze ww kumtafuta, kumbembeleza ndo ziro kabisa, kujua mendeleo yao ni div 5, waume wa aina hii ni hasara kwa taifa langu na ulimwengu mzima

muhimu kupiga kapuni mapema ukikutana na jianaume la namna hiyo
 
Akikosa yote hayo basi awe na pesa na iwe inatoka sio ahesabie kwenye wallet na kwa bed awe na ufaulu uliotukuka!!
 
Back
Top Bottom