Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

Nyani Ngabu,

1-Unajua wanaume wengi wa bongo hawajui kujali,yaan pesa mpaka umuombe hawez toa tu ili nawe ukapendeze,
2-wengi sio wasafi wananuka vikwapa,mdomo,mwili unakua na harufu ya ajabu ajabu japo na wanawake inawagusa hapa
3-kuna wanaume hawajui lugha ya upole ya ukarimu yaan yeye ni dharau tu na majivuno,pia kuamin maneno ya watu bila kuchunguza

Mim hua vinanikuna vitu hivi vitatu,wanaume wengine wanakera jamani, tunawatangulizia pesa tu kwani wanatubinuaga mno kila aina ya sarakasi,
 
Bhaaaas! Na wala si Migomigo tu. Mkwanja kwa asilimia kubwa sana (90 na kitu) ndo kila kitu popote pale, kuanzia Uswazi, daraja-kati, hadi Ushuani.

Wapo wataojishaua na kujifanya mkwanja si kitu lakini hayo ni mashauzi tu. Mbele ya mkwanja ni wachache sana wenye kuleta za kuleta.

Ila ndo hivyo tena...ukiisha na wenyewe wanapukutika kama majani ya mti kwenye msimu wa kupukutika majani (autumn).
Jasu mbona hapendi mkwanja....
Na usisahau ku edit ile msg fb, si kui delete kwa ajili yako
 
Jasu mbona hapendi mkwanja....
Na usisahau ku edit ile msg fb, si kui delete kwa ajili yako
Boflo bana, husahau kitu wewe eeh?

Halafu kwa nini hukuidiliti kwa ajili yangu? Ni kwa sababu mi ni mtu muhimu sana kwako au...?

Mwambie Jasu nampa bonge la shout out.
 
Last edited by a moderator:
1-Unajua wanaume wengi wa bongo hawajui kujali,yaan pesa mpaka umuombe hawez toa tu ili nawe ukapendeze,

Lakini kwa nini umwombe pesa? We huna zako?

2-wengi sio wasafi wananuka vikwapa,mdomo,mwili unakua na harufu ya ajabu ajabu japo na wanawake inawagusa hapa

Usafi wa mwili ni janga la kitaifa. Ni janga kwa sababu watu hawana elimu, ujuzi, wala ufahamu wa kutosha kuhusiana huo usafi. Vile vile hata nyenzo za kuwezesha huo usafi ni ama hazitoshi kukidhi mahitaji au hazipo kabisa.

3-kuna wanaume hawajui lugha ya upole ya ukarimu yaan yeye ni dharau tu na majivuno,pia kuamin maneno ya watu bila kuchunguza

Lakini hata wanawake wa hivyo wapo pia. Hivyo, hilo ni suala la kotekote.

Mim hua vinanikuna vitu hivi vitatu,wanaume wengine wanakera jamani, tunawatangulizia pesa tu kwani wanatubinuaga mno kila aina ya sarakasi,

Hakuna kingine cha nne kinachokukuna wewe:smile-big:?
 
mi nawamegaga bila kutoa mkwanja kihivyooo....saa zingine kujiamini tuu na ujanja ujanja wa hapa na pale.nakubariana na mleta mada.
 
Lakini kwa nini umwombe pesa?

Mi zangu ninazo lakin mwanaume lazima aniongezee na yeye,bila hata kumuomba,nikiona hunipi nakuacha kimya kimya,kumbuka mliumbwa mtutunze na kutuhudumia pia

kwa sisi baadhi tunajua kupetipeti baba eeeh

Hakuna kingine cha nne kinachokukuna wewe:smile-/

Kingine ntakuambia siku nyingine
 
Wanawake Wanapenda Security tu. Anataka awe na uhakika wa kula, kulala, kuvaa vizuri, sex from time to time na cash to spend on her own. Alafu yeye atoe K tu.
Kiufupi mtatua shida zake zote au niseme mtoa PESA.

Ina maana upendo hauwezi kusimama wenyewe bila support ya mkwanja? Du!
 
Wanawake Wanapenda Security tu. Anataka awe na uhakika wa kula, kulala, kuvaa vizuri, sex from time to time na cash to spend on her own. Alafu yeye atoe K tu.
Kiufupi mtatua shida zake zote au niseme mtoa PESA.

hilo nalo ni muhimu mkuu.
 
Umenena, lakini hiyo ni nadharia tu. Wanawake wa sasa wanachokipenda toka kwa wanaume, anafahamu Mungu. Yawezekana ukafanya kila ulichoainisha hapo juu na bado wakazingua.
Sali sana umpate mwanamke atakaekujali, haya mengine yatarekebishika.

yeah, of course. but, is the theory not applicable nowadays?
 
Mtoa thread unapatikana wapi aisee...umegusa kwenyewee....
Af nyie mnaosema mwanamke pesa kw hyo hamuwezi pendwa hadi umnunue mwanamke,hv hamjajifunza kw mushi wa ufoo saro ,na yule jamaa wa ilala?women want money cz hawapat hvo vitu hapo juu mtu anaona she has nothing to lose km anakosa penzi basi apate pesa,mfanyie hvo ur girl utaniambia,bt of coz girl anaejielewa(sio wote),...

hahaha! napatikana hapa jf, jukwa la MMU. you're most welcome.
 
tpaul vipi wewe?yaani maandishi yote haya hamna kipengele cha PESA?

Yote uliyo taja ni habari za kufikirika tu;wanawake wanavutiwa na pesa na anayebisha ni mchawi!!

hahahahah! mkuu, pesa ipo kwenye kipengele cha KIPAUMBELE--ambapo unapaswa kumpa kipaumbele SHE wako ikiwa ni katika mambo ya kifedha pia. sema tu hii hoja ya fedha haijachomoza sana ila imo mumo humo. umeona eeh?
 
Last edited by a moderator:
mke mwema ndio anatoka kwa mungu ila mme mwema anatoka crdb, nmb, airtel money, mpesa, exim bank, tigo pesa na bureau de change.

hahahaha! hiyo falsafa yako kali sana mkuu, kidogo univunje mbavu!
 
Kiukweli mm namsupport 100% mtoa iyo mada yni kanifuraisha cna kaniguza ameongea ukweli czo ndyo yanayonikuta nampenda mpnz wngu lkn cjawai kumsikis akinisifia yni ananikwaza xna mara nyingi nakuwa najisikia vbaya napata wkt mgumu cna nina mwaka nipo nae lkn ni mara moja tu alinitumia msg ananipenda....kiukweli ananifanya kila ck upendo unapungua...naumia xna na mm nampenda 4 realy czo ata ela hana haniudumii kwa chchte...na kitandan ndyo wala hajali nami nimefika au laah tumelala atujasex asbh kanipa kimoja namwambia nataka tena eti ananijibu baade tena hanijibu kwa upendo wkt ameshinda ndani ck mbili amelala tu...kiukweli niliamua kuondoka
 
Hili jukwaa nalo naona laanza kugeuka kuwa kama jukwaa la siasa...

Ushabiki mwingi kuliko tafakari yakinifu...
Nashukuru umeliona hilo mkuu, nadhani wengi hawajaingia kwenye ndoa (nikiwa mmoja wao) so bado watu wengi wapo kwenye mahusiano ya show off na drama life
 
Back
Top Bottom