Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Wanawake wanatesa wanaume mabwege

WisWisr
BINAFSI NAONA MWANAUME KUPELEKESHWA NA MWANAMKE KIBWEGE BWEGE, LABDA UKOSE TU PESA. LAKINI KAMA UNA PESA,SIO RAHISI KWASABABU WANAWAKE WAZURI WAPO KIBAO NA WOTE WANAHITAJI WANAUME WENYE PESA.
ILA PIA USHIRIKINA UPO, UNAWEZA KUMUONA MWANAUME PAMOJA NA PESA ZAKE ILA KAWA BWEGE KUMBE NDIO MKEWE KASHAMTENGENEZA HIVYO.

Kuna Watu wanapesa na wanateswa Mno.
Mwanaume Sifa yake ya Kwanza ni kujiamini, ujasiri, awe na Pesa au asiwe.
 
Wanawake daima wanakuhangaisha wakisha jua udhaifu juu yake.....na udhaifu unaonekana pale mwanzo wa mahusiano kwenye Yale unayoita mahaba......

Mwanamke anatakiwa uishi naye huku akijua mipaka yake na akivuka mipaka ni kumuonesha kuwa wewe ni mwanaume kamili...Kwa kufanya maamuzi magumu..........

Ukiwa na uwezo wa kustahimili maumivu ya kuachana na mwanamke basi wewe hakuna mwanamke Duniani atakufanya bwege......

Ishi na mwanamke kwa wema lakini mfanye ajue kuwa unaweza kuacha naye muda wowote akitoka nje ya mstari......
Kila mtu asome hapa, hasa para ya mwisho
 
Sio fact

Ukiwa na kibunda automatic hauwi bwege.

Pesa ata ma bwege wanazo hujawaona wanavyo wajengea magorofa na kuwanunulia magari wakati ndugu zao wanalala kwenye nyumba za tope ? Huoni ma bwege wenye pesa wanavyokesha kidimbwi na michepuko huku familia zao zimelala njaa? Pesa yoyote anaweza ipata haijalishi kasoma au hajasoma mahna ukijua kanuni za kupata pesa lazima utazipata tu ata ukiwa wapi ila haiyondoi UBWEGE ..
 
Niliwahi kumuona kanali bwege anapelekeshwa na kutii amri za mkewe
Yako mengi,ukitaka umuweze mwanamke kuwa mkoloni Fulani kamwe hawezi kukuacha.

Uzoefu inaonesha wanaume wanaoachwa ni wale mabwege wanaojifanya kupenda saana au kama ni mkali au katili iwe in excess ila ukatili wa kawaida hakuna mwanamke ataondoka.
 
Ukiwa Huna hela lazima uchekechwe tuu , Ila kama hela ipo wanawake utawaogelea Sana , huwezi kumzingua pisi kali kama huna hela ni ngumu Sana mana kuna wahuni wenye shekeli watakuwa wanampa kiburi na atakuwa anawanyenyenyekea kinyama Ila wewe unapelekwa mwendo wa ngiri mkia juu😁😁😁
Ndio mabwege wenyewe Kila kitu Hadi wahonge hao ndio Huwa wanaobabaishwa na wanawake
 
Nakubali Robert Heriel,wavulana wengi sikuhizi kuliko wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom