Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Ukiwa Huna hela lazima uchekechwe tuu , Ila kama hela ipo wanawake utawaogelea Sana , huwezi kumzingua pisi kali kama huna hela ni ngumu Sana mana kuna wahuni wenye shekeli watakuwa wanampa kiburi na atakuwa anawanyenyenyekea kinyama Ila wewe unapelekwa mwendo wa ngiri mkia juu😁😁😁

Bahati nzuri wengi hapa mjini ambao wanaitwa pisikali wala sivyo walivyo.
Na hao wasio pisikali ni Kwa vile Hawana Matunzo. Ila wanafanana.

Pisikali ni wachache Mno, yaani moja Kati ya elfu moja. Sasa wavaa mawigi na makeup ndio wanaojiona pisikali. Ndio wanaowafanya wanaume MABWEGE kuwa Misukule
 
Hapa kweri inadhirisha bongo tuna kauvivu kakusoma Uzi mrefu mwamba naona unapita changamoto yakuteswa na mwanamke mpka unadondosha yalio moyoni

MABWEGE sio rahisi kuelewa Kwa sababu yenyewe hayajui Kutumia Akili(majinga) kama mada inavyojieleza.
Soma Kwa ufahamu, kisha tafakari.
 
Ukiwa Huna hela lazima uchekechwe tuu , Ila kama hela ipo wanawake utawaogelea Sana , huwezi kumzingua pisi kali kama huna hela ni ngumu Sana mana kuna wahuni wenye shekeli watakuwa wanampa kiburi na atakuwa anawanyenyenyekea kinyama Ila wewe unapelekwa mwendo wa ngiri mkia juu
Mzee Kuna watu wana hela na wanafanywa mabwege mpaka huruma

Utajiri mkubwaa zaidi ni maarifa

Yani mi kuna jamaa huwa nawaangalia mpaka najiuliza "Hivi huyu ubongo wake unafanyaje kazi?"

Dunia ina ukame wa wanaume wenye mawazo ya hii haina ya heriel
 
Wanawake daima wanakuhangaisha wakisha jua udhaifu juu yake.....na udhaifu unaonekana pale mwanzo wa mahusiano kwenye Yale unayoita mahaba......

Mwanamke anatakiwa uishi naye huku akijua mipaka yake na akivuka mipaka ni kumuonesha kuwa wewe ni mwanaume kamili...Kwa kufanya maamuzi magumu..........

Ukiwa na uwezo wa kustahimili maumivu ya kuachana na mwanamke basi wewe hakuna mwanamke Duniani atakufanya bwege......

Ishi na mwanamke kwa wema lakini mfanye ajue kuwa unaweza kuacha naye muda wowote akitoka nje ya mstari......
naunga mkono hoja
 
Ukiwa Huna hela lazima uchekechwe tuu , Ila kama hela ipo wanawake utawaogelea Sana , huwezi kumzingua pisi kali kama huna hela ni ngumu Sana mana kuna wahuni wenye shekeli watakuwa wanampa kiburi na atakuwa anawanyenyenyekea kinyama Ila wewe unapelekwa mwendo wa ngiri mkia juu😁😁😁
😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom