ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,289
Kuna watu wana sixpacks lakini kitandani ni zero kabisa wakati sisi wembamba na hatuna sixpacks tuko safi kitandani na tunapiga show ya kumfanya mwanamke aridhike,kikubwa nikujua jinsi ya kujizuia kumwaga haraka na kufanya mazoezi ya kawaida ambayo yatafanya damu izunguke mwilini ipasavyo.Kwa mtu ambaye amekariri kua sixpacks ndo zinazosex hajui kua mapenzi ni ubunifu.