GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,301
Wadanganyeni hvyo hvyo halafu vitambi vikiwazidia mnatafta wa six pack!!We unafaa sana. Mwanaume wa kweli anatafuta pesa sio six pack. Ukiona mwanaume anakazana kuweka six pack jua anajiaandaa kuwa mariyoo.
Mapenzi na ndoa ni vitu complicated vinahitaji ubalance vitu vingi sana hususani mwanaume!!!!