and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,121
Wewe kijana kutwa unanyanyua vyuma uwavutie wanawake kwa kuwa na six packs, badala ya kutafuta pesa. Ukweli ni kuwa wengi wa wanawake wanatafuta uhakika wa maisha ya baadae kwa kuwa na mtu mwenye FINANCIAL STABILITY ambae atampa malazi/nyumba, ada za watoto, matumizi binafsi na vitega uchumi kadhaa. Sasa wewe endelea kunyanyua nyuma uone wazee na vitambi vyao wanavyoendelea kupata kipochi manyoya cha wanawake wazuri.
NB: Six packs hata kondoo anazo!
Picha kwa hisani ya PROF NDUMILAKUWILI
NB: Six packs hata kondoo anazo!
Picha kwa hisani ya PROF NDUMILAKUWILI