Wanawake Wanapote Mazingira Tatanishi

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
ONYO:
Wadada wenzangu desperate, tafadhalini muwe waangalifu sana. MANGE KIMAVI ameweka posting feki ambayo ameandika yeye akidanganya watu kwamba ni mtu anatafuta mke. Wanawake huyu dada mwenzetu amechanganyikiwa msidanganyike kabisa. WANAWAKE WAWILI WAMESHAPOTEA HAPA MJINI NA MANGE ANAHUSISHWA. TAFADHALI MSIJIBU HIYO POSTING

ANATAFUTA MKE.....

Yeyote atakayetuma jina lake kwa mange atajikuta mbali sana. Tafadhalini sana muwe waangalifu mange baada ya kubakwa siku ya jumamosi amedata. TAFADHALI SAMBAZA HABARI KWA MARAFIKI NA NDUGU ZAKO. ANDIKENI KWENYE TWITTER NA FACEBOOK ZENU. Kuna kamchezo mchafu umeanza, wanawake wanatoweka ovyo hapa mjini. Isije kuwa wewe. MANGE NDIYE HUYO mwanme anayetafuta wanawake wa kitanzania. Hiyo stori amejitungia NA TAYARI ANAHUSISHWA NA KUTOWEKA WANAWAKE WAWILI HAPA MJINI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom