Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,379
shosti mnialike na mimi niwasaidie......
huwa nakereka sana na wamama wenye hayo matabia aisee.... hivi utamng'ang'aniaje mtoto mdogo ambaye ndo kwanza anaanza maisha? tena msilegeze kamba mpaka kieleweke maana hapo kitakachotokea ni kupotezewa muda huyo mdogo wenu halafu anafurumshwa, take my words
acha tu my dear, kijana ananitambulisha bila woga, naondoka kijana ananitumia sms ananiambia "sis, mamake kafurahi kukujua" kilichoniumiza zaidi ni hiyo jana kusikia kashaondoka nyumbani, huyo mama ni yale mashangingi, yaani kakaa na kijana bar kubwa watu kibao hana hata hofu, kumshika shika kijana, mara hivi mara vile, aliponimaliza ni alipomuita kijana "daddy" nilipiga funda la ballantin yangu nikaondoka mana ningeharibu mapema kabla ya mkakati.