ndio mana nilienda nikiwa tayari kwa lolote, kama tunashikana na tushikane vizuri na tuachiane alama za ukumbusho,ndio mana nilikuwa tayari kuharibu kabisa ili nisijutie, bar mwenyewe? mpaka sasa nina uwezo wa kukaa bar mwenyewe nikagida nikachapa lapa, si pesa yangu inaniruhusu? sina hofu kabisa,mradi isiwe usiku, siku zile niliagiza balantine kubwa na amarula kadogo, sasa sikuweza kuzimaliza na naona nao wanakaribia kumaliza kula ikabidi nishike chupa zangu mkononi niwafate nazo sasa sijui walivyoniona na chupa mbili walijua ndio nawavurumishia? nimwage pombe mie? pale nilikuwa na tatizo na mhusika wangu, sasa huyo mzinzi mwenzie angenyanyua mdomo tu, aiseee sijui, FP najiamini mbaya kabisa, haswa pale ninapojua naonewa/nanyanyasika napambanaga haswaaa, penzi jipya? hawa wazinzi walikuwa wameshazoeana, mie nimesotea kasheshe kwa miezi 6 which means wao walikuwa wameshazoea kiasi cha kuwa na guts za kukaa mabar mchana kweupe bila hofu yoyote.