Wanawake wanapogeuka ombaomba...!

Wanawake wanapogeuka ombaomba...!

Elizabeth Dominic hapo kwenye BOLD naomba ushereheshe kidogo, maana sijakupata sawasawa.......

Yaani kwani huwajui wamama na wadada ambao hutumia any means necessary kwenye harakati zao, ikibidi kutokalia uchumi wao. Sasa mi nimejiuliza juu ya huyu anayetafuta kuwezeshwa ana tofauti na anayesubiria/aliyebweteka?
 
Last edited by a moderator:

Hilo la kutumia tupu zao ili kuwezeshwa sio mpango wa Mungu na sio kusudio la mada yangu..............
Sio wanawake wote waliofanikiwa walitumia K zao kujinufaisha, naogopa kubeba laana, nawaheshimu sana wanawake wanaojisitiri utu wao na kuwa wabunifu wa biashara halali ili kujiletea maendeleo kwa ustawi wao na familia zao, wapo wengi sana na wengine wapo humu humu JF, subiri lara 1 atakapowaalika kwenye MMU Exclusive Interview ndio utawajua...................
 
Huna lolote we mzee! Kazi kumzeesha Mama Ngina wa watu! Maandiko yanasema MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA!!!!!! Sasa toka lini pambo likaenda shamba, au likaungua na kuchoma miogo!!!!!!!!!!!? Wanawake hao wanaojishughulisha wachache sana wanatoka kimaisha Atleast where i come from ukiona katoka tu ujue kuna mwezeshaji!!!!!!! Mtaani kwetu kutoka ni kupata Zoba lenye hela zake na kugawana nalo umasikini!!!!!!!! Baaaaaaaass! We uchome miogo hadi ununue BMW leoooooooooo!!!!!!!!!!!! Si utakuwa umezeeka? Ukicheza karata zako vizuri You get the man you love, plus he comes with the BMW, and a comfy home!!!!!!! All 3 in 1 shot!(Love, riches, stability) Sasa hivi huvipati kwenye miogo au batiki!!!!!!! WE PREFER THE SHORT CUT, THE CUT FOR THE STRONG AND BRAVE!!!!!!!!!
 
Yaani heading iliniboa
niliingia humu na mihasira balaaa
ila message nzuri sana
ila siachi kuomba ng'o na bwanangu nisipomuomba anaona ninabwana mwingine anakasirika ugomvi babkubwa
habari ndo hiyo
 
Huna lolote we mzee! Kazi kumzeesha Mama Ngina wa watu! Maandiko yanasema MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA!!!!!! Sasa toka lini pambo likaenda shamba, au likaungua na kuchoma miogo!!!!!!!!!!!? Wanawake hao wanaojishughulisha wachache sana wanatoka kimaisha Atleast where i come from ukiona katoka tu ujue kuna mwezeshaji!!!!!!! Mtaani kwetu kutoka ni kupata Zoba lenye hela zake na kugawana nalo umasikini!!!!!!!! Baaaaaaaass! We uchome miogo hadi ununue BMW leoooooooooo!!!!!!!!!!!! Si utakuwa umezeeka? Ukicheza karata zako vizuri You get the man you love, plus he comes with the BMW, and a comfy home!!!!!!! All 3 in 1 shot!(Love, riches, stability) Sasa hivi huvipati kwenye miogo au batiki!!!!!!! WE PREFER THE SHORT CUT, THE CUT FOR THE STRONG AND BRAVE!!!!!!!!!

Ha ha ha haaaaaaaaa... lara 1 wewe ni balaa aisee......
Na ushukuru Mungu sijakuoa mie, hakika ungechoma mihogo mpaka upauke............LOL
 
Last edited by a moderator:
Uombaomba wa akina mama hasa kwa Tanzania umejikita kwenye ubunge wa kupendelewa maarufu kama ubunge wa chupi. Walioko chini ni kutowezeshwa tu. Nadhani dawa ya kuepukana na hili ni kuubomoa mfumo dume. Hata hivyo mambo yameanza kubadilika. Ushahidi ni kiduchu ni jinsi humu JF vijana wengi wanavyotafuta mijimama ya kuwalea. Zama zetu hili lisingewezekana na kama lingetokea basi wazazi wako wangekuwekea mkwara wa kukukachia laana na ungeachana na shipa hilo. Kwa sasa ni tofauti.

Hivi kila mbunge wa viti maalum pale bungeni ameingia kwa Ngono?!

Embu tuacheni kupenda kudhalilisha wanawake kiasi hicho.
 
Comm mwanangu unagemea nini toka kwenye viti vya upendeleo? Mbona wanawake wenyewe walishasema kuwa wanaombwa ngono? Nadhani ni wanawake toka mkoa wa Mbeya waliofumua hili. So what do you expect hither? Wanawake ingawa si wote wanajidhalilisha wenyewe kwa kupenda viti vya dezo. Waulize akina Vicky Kamata wamepataje huo uheshimiwa wao usio heshima kitu.
 
Nakubaliana na wewe,kweli hayo mambo hayakosekani,huwa yapo kila mahali ndio ile kwenye msafara wa Mamba Kenge hawakosekani,ila tusiwajumuishe hatuwatendei haki na wengine waliojituma.
 
Mwanangu Comm hakuna mwanamke aliyejituma anayetumikia ubunge wa upendeleo. Waulize akina Halima Mdoe wakwambia sekeseke ya kuupata ubunge wa heshima na halali. Wote wenye ubunge wa chupi hawawezi kukwepa kebehi na shaka kwa vile wana tunu ya kupendelewa. Je katika kupendelewa huku tutajuaje kama anayewapendelea lazima awapende kwanza? Siwapondi nawapenda ingawa wengi hawakubali ukweli huu mchungu. Viti vya dezo chupi au kupendelewa ni dhihaka tosha kwa walio nao.
 
Huna lolote we mzee! Kazi kumzeesha Mama Ngina wa watu! Maandiko yanasema MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA!!!!!! Sasa toka lini pambo likaenda shamba, au likaungua na kuchoma miogo!!!!!!!!!!!? Wanawake hao wanaojishughulisha wachache sana wanatoka kimaisha Atleast where i come from ukiona katoka tu ujue kuna mwezeshaji!!!!!!! Mtaani kwetu kutoka ni kupata Zoba lenye hela zake na kugawana nalo umasikini!!!!!!!! Baaaaaaaass! We uchome miogo hadi ununue BMW leoooooooooo!!!!!!!!!!!! Si utakuwa umezeeka? Ukicheza karata zako vizuri You get the man you love, plus he comes with the BMW, and a comfy home!!!!!!! All 3 in 1 shot!(Love, riches, stability) Sasa hivi huvipati kwenye miogo au batiki!!!!!!! WE PREFER THE SHORT CUT, THE CUT FOR THE STRONG AND BRAVE!!!!!!!!!

lara1 ukimpata huyo Zoba na sharti lake liwe ni kwenda kinyume na Maumbile na kisha anakupa hivyo unavyotaka utakubali?
 
Unaweza kumpata Maskini kapuku wa kutupwa ila ndo mzee TIGO balaaaa! Hayo mambo ya SODOMA NA GOMORA ni tabia chafu tu ya mtu, hayaangaliii uwezo wa maisha! Plus kigezo cha kuwa zoba ni TO DO AS I SAY! sasa masharti yatatoka wapi?
 
problem ni kwamba watu hatujatambua uwezo wetu wa kufanya mambo makubwa.mi najua tunao uwezo mkubwa sana wa kufika mbali ktk hii life ila vijana wengi hawataki kuishi jinsi walivyo wanataka kuishi maisha ambayo hawana uwezo nayo mfano mtu hana uwezo wa kununua gari lakini anataka kutembelea gari how comes hiyo haiwezekani.siku zote tujue lazima tuanze chini kwenda juu, na katika process ya kupata maendeleo uvumilivu unahitajika kwa sababu njia sio straight forward.safi sana mtambuzi nimeipata vzuri hiyo
 
Back
Top Bottom