Wanawake wanapogeuka ombaomba...!

Wanawake wanapogeuka ombaomba...!

Ngoja nikamtafute, hata huyo tu

Ila si atanitapeli geto langu Tandale??

kuna yule mzungu tapeli wa dsm. Anaombaga buku 10, anasema kaibiwa.hadi passport na dadake atamtumia hela mchana. Labda umsake mitaa ya posta.
 
Huu uzi nasuggest uwekwe kwnye sticky.
Hongera mleta uzi.
 
si bora wewe unawasikia wakilalamika hawajatolewa. Sie tunaofuatwa kuombwa ombwa? Utaskia mie nakupenda, nitakupa raha, afu wewe una hela najua utanitunza na kunisaidia mengi. Vijana wa siku hizi, no wonder wadada hawapati waume wa kuwaoa. Manake wenyewe vijana wanasaka waume![/QUOTE]

weekend nilikuwa moshi, mdogo wangu wa kiume kwa mama mdogo akanikaribisha mahali nimuone" wifi yangu", jamani huyo mdada niliemkuta pale mwenyewe nilibloo,vijana wa sasa hasara tupu, nilijuta kwanini nilienda mana ni aibu tupu.
 
kuna yule mzungu tapeli wa dsm. Anaombaga buku 10, anasema kaibiwa.hadi passport na dadake atamtumia hela mchana. Labda umsake mitaa ya posta.

We King'asti na Kongosho, mnapoupeleka huu uzi hata siwaelewi...............!
Jiangalieni kabla sijawacharaza bakora, wenzenu wanajifunza nyie mnajitongozesha humu.............. eti mnatafuta wazungu....Nyooooo!!!!!!! zenu wote
 
Last edited by a moderator:
si bora wewe unawasikia wakilalamika hawajatolewa. Sie tunaofuatwa kuombwa ombwa? Utaskia mie nakupenda, nitakupa raha, afu wewe una hela najua utanitunza na kunisaidia mengi. Vijana wa siku hizi, no wonder wadada hawapati waume wa kuwaoa. Manake wenyewe vijana wanasaka waume![/QUOTE]

weekend nilikuwa moshi, mdogo wangu wa kiume kwa mama mdogo akanikaribisha mahali nimuone" wifi yangu", jamani huyo mdada niliemkuta pale mwenyewe nilibloo,vijana wa sasa hasara tupu, nilijuta kwanini nilienda mana ni aibu tupu.
Nyamayao, hebu fafanua kwanza, ni aibu tupu kivipi?
Kwani ana kasoro gani?
 
Last edited by a moderator:
Bravo Mtambuzi. Ki ukweli siku hizi unakutana na mtu hata kwenye dala dala anakuuliza unafanya kazi wapi, ukisema huna kazi unatafuta na story inaishia hapo. Ebu tuwe waungwana. Hivi unapomfanya mwenzio kama pochi, as if yeye hana kazi na hela yake inakuwaje?

Tuache tabia za kujinga, hasa wanaume siku hizi mmekuwa na tabia za ajabu mpaka mnafikia hatua ya kuingiza mikono kwenye pochi za masugar mami zenu kuiba hela. siyo lazima uwe na biashara kubwa sanaa, cha kufanya angalia kinachowezekana ili uanze taratibu mpaka ufikie level ya kuwa mfanya biashara mkubwa.

Ndiyo maana hatuolewi wala kuoa, nani anavumilia tabia za kishenzi kama hizi? Mtambuzi tupe mbinu za kujikwamua, hii thread ilikuwa vya kutuamsha toka usinginzini
Caroline Danzi ni nyie wenyewe mnawaendekekeza, ni kwa sababu wameona kwamba inawezekana kupata jimama la kumlea kwa malipo ya ngono na ndio sababu ya kila kijana mvivu analala akiota zali la mentali......

Na hiyo iko kote kote maana pia vipo vibinti hufukuzia wazee waume za watu kwa ajili ya kujikwamua kimaisha na yote hiyo ni kutotaka kuwajibika kwa maisha yao.

Kuna haja ya kuanzisha darasa la ujasiriamali humu ili kila mtu ajitegemee.

Kuna malalamiko mengi humu ya wanaume wakidai kuwa wake zao wanafanya kazi lakini hawako tayari kuchangia matumizi ya nyumbani hilo nalo pia ni tatizo, na wanawake wanahalalisha kabisa kwamba hilo sio jukumu lao.
Lakini unadhani hilo limetokana na nini?

Ni malezi tu, na ndio maana inashauriwa kama unampata mwenza kuna haja ya kuchunguza familia atokako. Kwani malezi ya wazazi yana mchango mkubwa wa kuathiri tabia na mienendo yetu...

Nitazungumzia jambo hili kesho....................
 
Last edited by a moderator:
Tunatafuta wa kutulea

Nimechoka kuamka na kwenda kumwaga zege daily

Kwani mie nina kasoro gani hadi nikose wa kunilea hapa mjini?

We King'asti na Kongosho, mnapoupeleka huu uzi hata siwaelewi...............!
Jiangalieni kabla sijawacharaza bakora, wenzenu wanajifunza nyie mnajitongozesha humu.............. eti mnatafuta wazungu....Nyooooo!!!!!!! zenu wote
 
Tunatafuta wa kutulea

Nimechoka kuamka na kwenda kumwaga zege daily

Kwani mie nina kasoro gani hadi nikose wa kunilea hapa mjini?

na ndio maana mnaombwa TIGO kwa sababu ya kuuza uhuru wenu.........
Kama unakwepa majukumu yako na kumsukumia mwanaume ndio mwanzo wa kuuza uhuru wako, na ndio sababu ya wanawake wengi kuishi kwenye ndoa ngumu.

Mtu utakuta ananyanyaswa na kudhalilishwa lakini kang'ang'ania tu kwa sababu anaogopa kwenda kuanza maisha peke yake anaamini hataweza kuishi bila huyo mwanaume..

Pumbavu kabisa, mtu uzaliwe ukiwa na viungo vyote vya mwili na akili zako timamu, lakini unashindwa kujitambua wewe ni nani?.....!
 
Binti yako King'asti ndio ananiharibu

Kaniambia ananiletea Mzungu tapeli, niwe Mrs Rutherfold and a half

Nitampa tu atakacho ili niweze kushop

Na hao wazungu ndio huwa wanapenda Dirty Sex, kwa hiyo uwe tayari kwa lolote............

Usimsikilize huyo mwanangu King'asti, akili zake nazijua mwenyewe............
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, hata mie nakubali ushauri huku naogopa

Afu leo kaja na tetesi eti mie mamake?

Ujue enzi za JKT makutupora nilizaa na Hasani Mtembegu, ila mtoto alikuwa wa kiume na alimchukua mtoto na hatukuonana
Au alienda kufanya plastic sajari ya jinsia?

Na hao wazungu ndio huwa wanapenda Dirty Sex, kwa hiyo uwe tayari kwa lolote............

Usimsikilize huyo mwanangu King'asti, akili zake nazijua mwenyewe............
 
Nyamayao, hebu fafanua kwanza, ni aibu tupu kivipi?
Kwani ana kasoro gani?

ni limama la watoto watatu ametengana na mume, amemkamata kijana vibaya sana na juzi kati kamnunulia ka raum basi kijana amevuruguka akili kabisa, hataki kuchakarika kwa lolote coz limama limemwambia litamfungulia biznes,kwa mama mdogo mambo si mambo, ukienda kwake ni kesi/malalamiko mpaka unachoka, jana mama amenical ananiambia mdogo wako amekuja kuchukua kila lililo lake ananiambia namwekea kiwingu mana nachonga sana kapangishiwa nyumba majengo, mie kwenda huko juzi ilikuwa ni kumjua huyo mwanamke ambae mama analalamika/sononeka sana juu yake na nilijua wakati mwingine ni mambo ya wamama kuwachagulia watoto wao wanachotaka, coz nimeona kwa macho yangu tutapambania kuwasambaratisha kabisa, kijana lazima fahamu zake za ujana zirudi na ajitambue/kujituma sio ishu za kulelewa, yule mmama angejua nitamgeuka baada ya muda mfupi nadhani asingejituma kunihudumia vile, hapa namsubiria tu dada mkubwa wa kijana anakuja likizo next week tujue tunaanzia wapi.
 
WE BANDIKA MABANGO, HUBIRI, FANYA NA MAOMBI!!!!!!!!!! Ila sisi ukupe na unyonyaji hatuachi!!!!!!!!! Urithi huo tumepewa na bibi zetu, chezea!

KAMA UNAWEZA KUKIPATA BURE KWANINI UKITOLEE JASHO!!!!!!!!!!! "If i cant get something i just get a man who can get me the staff!"
 
na ndio maana mnaombwa TIGO kwa sababu ya kuuza uhuru wenu.........
Kama unakwepa majukumu yako na kumsukumia mwanaume ndio mwanzo wa kuuza uhuru wako, na ndio sababu ya wanawake wengi kuishi kwenye ndoa ngumu.

Mtu utakuta ananyanyaswa na kudhalilishwa lakini kang'ang'ania tu kwa sababu anaogopa kwenda kuanza maisha peke yake anaamini hataweza kuishi bila huyo mwanaume..

Pumbavu kabisa, mtu uzaliwe ukiwa na viungo vyote vya mwili na akili zako timamu, lakini unashindwa kujitambua wewe ni nani?.....!

na wanawake wengi hilo linatukumba, kuogopa na jamii pia itanifikiriaje,tutaamka tu siku moja, inasikitisha lakini ndio hali halisi, nina watu wengu wengi sana wa karibu wapo kwenye situation hiyo, ukiwauliza sasa kwanini hufanyi maamuzi magumu, wengi jibu lao ni moja tu"nyamayao hayajakufika ndio mana unaona kama ni rahisi, wacha niendelee kumwomba Mungu tu yataisha haya"
 
Caroline Danzi ni nyie wenyewe mnawaendekekeza, ni kwa sababu wameona kwamba inawezekana kupata jimama la kumlea kwa malipo ya ngono na ndio sababu ya kila kijana mvivu analala akiota zali la mentali......

Na hiyo iko kote kote maana pia vipo vibinti hufukuzia wazee waume za watu kwa ajili ya kujikwamua kimaisha na yote hiyo ni kutotaka kuwajibika kwa maisha yao.

Kuna haja ya kuanzisha darasa la ujasiriamali humu ili kila mtu ajitegemee.

Kuna malalamiko mengi humu ya wanaume wakidai kuwa wake zao wanafanya kazi lakini hawako tayari kuchangia matumizi ya nyumbani hilo nalo pia ni tatizo, na wanawake wanahalalisha kabisa kwamba hilo sio jukumu lao.
Lakini unadhani hilo limetokana na nini?

Ni malezi tu, na ndio maana inashauriwa kama unampata mwenza kuna haja ya kuchunguza familia atokako. Kwani malezi ya wazazi yana mchango mkubwa wa kuathiri tabia na mienendo yetu...

Nitazungumzia jambo hili kesho....................

mengi ya hayo malalamiko huwa yana sababu/chanzo chake, kama nyamayao nimefanya hilo sana tu na sababu zangu zilikuwa kwanini asihudumie familia yake tena kikamilifu anamaliza ngapi kwa huyo "hawara? coz nilijua anae basi huku nyumbani naomba mtoto asipige chafya huduma imefika, kwasasa nimeanza kidogo kidogo kusaidia, nilikuwa sijigusi kwa lolote na ni lazima sio ombi atoe huduma, sema sasa hivi hasira za hawara yake zimeisha naweza kusiadia kidogo kidogo.
 
na wanawake wengi hilo linatukumba, kuogopa na jamii pia itanifikiriaje,tutaamka tu siku moja, inasikitisha lakini ndio hali halisi, nina watu wengu wengi sana wa karibu wapo kwenye situation hiyo, ukiwauliza sasa kwanini hufanyi maamuzi magumu, wengi jibu lao ni moja tu"nyamayao hayajakufika ndio mana unaona kama ni rahisi, wacha niendelee kumwomba Mungu tu yataisha haya"

Ndio yataisha hapo atakapoletewa UKIMWI ahangaike nao..................

Inasikitisha sana, yaani mpaka umetungwa msemo kwamba mwalimu wa wanawake ni kipofu.........!
Sikubaliani na hilo kabisa.
 
WE BANDIKA MABANGO, HUBIRI, FANYA NA MAOMBI!!!!!!!!!! Ila sisi ukupe na unyonyaji hatuachi!!!!!!!!! Urithi huo tumepewa na bibi zetu, chezea!

KAMA UNAWEZA KUKIPATA BURE KWANINI UKITOLEE JASHO!!!!!!!!!!! "If i cant get something i just get a man who can get me the staff!"
Unajua lara 1 unawaponza wenzio.
Wewe unaongea as a jockey, lakini wenzako watakuamini humu, maana ushakuwa role mode kutokana na talk show yako, inabidi uwe mfano mwema humu JF.......LOL

Hivi unadhani wale kina mama na kina dada wanaozunguka mitaani na mabeseni na kuuza ndizi, matango, maembe na vipande vya mihogo, hawana huo uke?

Wanao na tena wengine wanalipa kwa sura na shape lakini wanalinda heshima zao..............!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom