Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko mwanaume soma quran na baibo vyotee mwanaume ndie kichwa na sasa kama ulikuwa ujui hili acha kabisa mwachie mwanaume awe kichwa na wewe uwe msaidizi.ukiwa kama mdau wa ndoa ama unaekaribia kuoa unamdaidiaje dume hili hata kama atojitaja hapa jamvini
nakaribisha maoni
Masharti na maoni kuzingatiwa....
nakaribisha maoni
Masharti na maoni kuzingatiwa....