Evelyn Salt kwa jibu hili sidhan kama nahitaji tena kukuambia......maana hana namba huyu....mwongozo wako nilikuwa naomba nimkate nisimkate
Hivi wanadhani ww ni dala dala kwamba hujai?:what:
Halagu sweeetheart Honey Faith unamwonea yeye walaaa😛
Chi ndo hapo chacha!
simuonei, alinichimba biti huyo sina hamu naye.
Aiseee bora unikate tu kwakweli.
kweli? Wapi hebu nipe sredi maana huyu Honey Faith hana mambo hayo atoto
Jamani ww sio wa kukatwaa
Mnateteana tu!
Nasubiri kukatwa kwa hamuuu
Namba moja ni ukweli mtupu.
Sio kweli, thibitisha
Kama hupendi wanachokikomenti saga chupa umeze. Get a life
Afu we kondakta wa Machimbo nishakwambia ukome kunifuatilia...
Mie nishakwambia mie ni saizi ya baba yako mzazi ndo nawezana nae mechi ya ukubwani, sio wewe.
Nilishakukanya kunishobokea wewe....sasa endelea upate vidole vya makalio.
Huyu huwa hatukani, na ni mshauri mzuri sana tu kama hujui.
Kama unahitaji ushauri muulize huyu dada atakusaidia.
Hata hawa wengine wanafurahisha tu jukwaa ila ni wadada wazuri tu sana. Trust me! Kama huamini niambie niongee zaidi
wewe hadi ukalie chupa ndo nyee zitakuishaUshauri gani mzuri anaoutoa hadi useme kuwa ni yeye tu?
wewe hadi ukalie chupa ndo nyee zitakuisha
ha ha ha hicho kimo lol
wewe hadi ukalie chupa ndo nyee zitakuisha
kwenda zako huko.
Kwani umetajwa humu?
Miguu mirefu kama mvua
Hakunaga baba asodindisha labda wa kuchora, hamna kitu hapoAngalia isiwe unamwambia babako hivyo.
Atagongwa ohooooAfu kwa kupenda kununua mechi hajambo, mada atoe mwingine...treni adandie yeye kwa mbele
Afu kwa kupenda kununua mechi hajambo, mada atoe mwingine...treni adandie yeye kwa mbele