Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
mod funga huuu uzi naona umekaaa ki shosti shosti
Shoga....we acha tu,
Nilikaa eda bila kufiwa mwenzio
...kuna mambo yalikorogana ndo mana nikawa kimya,hadi kule.
Vipi lakini salama mpenzi?
Pole sana my dear, fanya urudi kule bana. Tunamiss mambo yako ujue
Hiyo lugha sijui ya wapi aisee!!
Mdomo mchafu una meno mangapi kwani
au una kipele kinakuwasha eeee.....ngoja tukupe mkunaji.
...yaani mijitu mingine bora ingezaliwa punda ikawasaidia wazazi wao kubeba mizigo.
....mgongo mrefu kama meza ya kamari....mfyuuuuuuuuu!!!!!!
Kwenye hii thread umejichomeka tu kama mboo mfyuuuuu
au unaongea kwa niaba ya mmeo hapo juu?
Yaani ungenijua ungeona aibu mwenyewe.
Acha shobo usije kupanuliwa makalio.
Acha shobo usije kupanuliwa makalio.
Namuombea msamaha, msamehe bure....read the pm
Umekua kama dushe yenye ngiri....usirudie tena udada wakoWatu na maneno yao.
Umekua kama dushe yenye ngiri....usirudie tena ukaka wako
Hebu usiniite tena huku we pimbi, ushaomba samahani umesamehewa tulia basi sio unakua kama mteteaWewe unajifanya mjuaji sana! nyambaf.
.Naona umeamka vibaya.Hebu usiniite tena huku we pimbi, ushaomba samahani umesamehewa tulia basi sio unakua kama mtetea
ha ha ha af nlikua sijasoma ulivo edit et ukaka, we ni dada tu...kama unatamani kua dada basi acha huo ukaka
.Naona umeamka vibaya.
Kwakua umelala na mie mxyuuuuuu, naona unapata raha sana kwakuwa unanipiga bao ndio umeamua kujibizana na mie
Aisifiae mvua imemkojolea, jiandae kukojolewa!!!Aisifiaye mvua....?