Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

Naona hujipendi, ngoja waje
 
ooops!! nimetanguliza neno hapo!!
ila ngoja kwanza..
pengine kibo alikuwa na maana yatofauti!!
Oooh you meant???hebu ongea kiswahili bana unansemesha kizungu umenisomesha wewe?
Kingereza bila kulewa tutakesha hapa na tusielewane ohooo
undersandn't you? Teh chezea question tag
 

Kloriti Leo imefanya kazi
 
Hizi comments za leo, punguzeni jaziba bandugu! labda hakuwa na mana hiyo mliyo elewa nyie!
 
Ongezea The Unknown. Umeona alichoandika kwenye post hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…