Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Tungekuwa kama wanyama pori, wanaokuwa na mahusiano na yoyote kwa wakati wowote, ingekuwa raha sana.

Bahati "mbaya" tumepewa utashi ila kuna wanawake bomba sana humu. Wale wanaoendeleza "game" mnafurahia uumbaji kwa raha zenu.
 
Hao ni kipenda roho chako na unawajua maybe phisicaly na mnamahusiano ya karibu. Sasa unavyokuja na mjumuisho hapa wanawake wa MMU sijakuelewa hebu fafanua umetujuaje wote?Au kupitia comments
Shangaa na ww,majitu mengine sijui huwa yanakosa cha kuongea. Humu kuna watu malaki na hatufahamiani. Sijui katumia kigezo gani kuandika hayo.
 
hivi kuna mtu hajieshimu huku duniani ? sema wanawake wanaokuheshimu wewe ! kiswahili sio kigumu hivo mkuu
Acha kujifanya uelewi jamaa anacho maanisha na kuleta lugha zako,anacho maanisha umekielewa ni ujeri tu unakusumbua au kwasababu ujatajwa
 
Hao ni kipenda roho chako na unawajua maybe phisicaly na mnamahusiano ya karibu. Sasa unavyokuja na mjumuisho hapa wanawake wa MMU sijakuelewa hebu fafanua umetujuaje wote?Au kupitia comments
What did you mean by writing "Physicaly"?
 
Back
Top Bottom