Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,584
- 80,216
Ungeanza na wanaume mwenzio.Haya mambo yanakuja kutuletea kizazi Cha ovyo sana huko mbeleni Leo unafukua mtaro afu unamuacha huyo Binti Ili aolewe na nani? Na ufirauni wenu mlioanzisha unataka akaumalize na nani?
Mdogo angu kapata pisi na kunitumia picha zake, ni Kali haswa akaniuliza hapa vipi?
Nikamwambia good tu piga ila make sure unapima usiuze mechi maana Bado mdogo sana wewe akasema poa.
Jana analeta mrejesho kwamba anaacha uzinzi baada ya kupiga Ile pisi😂😂 baada ya kuona katikati ya show pisi inahamishia mashine Kwa mparange🤔
Vijana wanajifunza ufirauni wakiwa wadogo sana na wakija kuolewa inawapa shida sana kwani wanakua washazoea lakini waume zao hawafagilii hizo mambo pengine wanaona aibu
Hapa tutakuja kutafuta sababu za wake zetu kuchepuka ilhali tunawapa kila kitu pengine huko wanaenda kuuza jicho na hatujui
Imagine mwanamke wa miaka 20s tayari Hana jicho tutafika kweli?
🤔
Waambie waache kuwafanyia wanawake hivyo. Mnawafukua mkitegemea nani awaoe? Mtawaoa hao hao mnao waharibu. Inawarudia wenyewe