Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Wanaume wasio kunywa pombe ni mafalaaa... saa12 yupo hom kumuangalia house grl tu.. na niwachepukaj sana.. we drink rensponsbly saa3 npo hom.. mahaba motomoto
Usitutukane tusiokunywa Pombe basi....
Wanaume wasio kunywa pombe ni mafalaaa... saa12 yupo hom kumuangalia house grl tu.. na niwachepukaj sana.. we drink rensponsbly saa3 npo hom.. mahaba motomoto
mwanaume asokunywa pombe weka mbali, kwa umbea acha kabisa....ntaacha kunywa viwanda vyote vikifungwa....HAalfu acheni izo mambo, apa tungeweka kigezo cha kunywa/kutokunywa inaonekana tusingepata kabisa wake/wapenzi eeeh?
Thanks god lara 1 , Evelyn Salt, amu na wengineo wanaelewa hii mambo
Hommie Asprin hapa ninaona nina conflict of interest nisichangie sana:angry:
you have my offer, you know...
Hahahahaha! HOW ABOUT YOU BUY ME MARGARITAS ONE DAY! :A S wink: Za samaki samaki zinajitahidi tahidi!
Kama sio concod!
Huwezi kuwa MLEVI BILA KUWA MNYWAJI!
lara 1 hapo nakuunga mkono kabisa, kwanza kitandani mwanamke ndo aibu yote inaondoka mapiga mzigo utafikiri mnafanya shooting ya movie ya ngono.Koooooooooh! *Nasafisha koo tu jamani*
There aint a SEXY sight as a woman with a glass of wine, shots, liquor, beer et al! Inakuhabarisha tu TONIGHT WE ARE GETTIN NASTY! No pillow will be left untouched! Ukikaka na demu hanywi anakuwa such a TIGHT A.SS mpaka kero! Will tuondoke! Wille mda bwana! Wille fyoko fyoko! Hadi wadau tunasema Wille tutolee kiwingu, STIMU ZIMELIPIWA HIZI, TUSIKATANE STIMU KIREJAREJA!
Kuna kazi zile za kiutu uzima huwezi kuzifanya sobber kama mwanamke! Mfano wanaume wavivu unakuta hajanyoa miezi, na ile mizivu imechachamaaa! EEEEEWWWWWW! Yaaaaaaakh! Gorrila si gorrila, zinjanthropus si zinjanthropas, haeleweki mtu au mzimu! Paja zote zimejaa kichaka! Afu uwe sobber! HHAHAAAAAAA! Its not a laughing matter! Yaani unaweza hisi unalala na Zinjanthropus! Hahahaaaa! Ila ukiwa ndani ya shots zako za kutosha za Taquilla! UNSEREREKA TU! Anajisemesha ujue sijashae mda, sikujua tutafikia hapa! Vyombo vipo kichwani moja haikai mbili haisimami Unaweza piga baby you is so so sexy! I Yaani vimalaika hivo ndo unasema mazivu! Hahahaaaaaa! Kuna kazi zingine watu wazima kina Maddame B mnanielewa haziendi ukiwa sobber!
Plus mwanaume asiekunywa simtki! Anafanya kazi kama analimaaaa!!!!! Akhaaaaaa! Na hivi yuko sobber akikuona unasikizia utamu hulalamiki anasimamia baiskeli, Mmmmmmmmh! Akhaaaaaaa! Usipomfanyia kitu ANADAI KABISAAA! Kumbe ulikuwa unakikwepesha! Utasikia "mbona ulimi haufiki hilo eneo flan? Afu anzuga please baby, please nifanyie, pleaseee!" Pakutokea hunaaaa ndo inabidi ufikishe ulimi utafanyaje!! Hahahaaaa! Ila mlevi unaamua leokwa kosa la juzi hiki sifanyi, hiki sifanyi, kwa raha zako! Jamani wanaume sobber hapana aiseee!
At sea cliff?a while back! Got sick abt a year, wasnt using any due to medication! Will definately holler!Any day girl. Have you tried the ones at Karambezi? Just holler at a nigga.
Any day girl. Have you tried the ones at Karambezi? Just holler at a nigga.
Dogo usinywe kwasababu ni UNDERAGE! Ila ukifika of age PIGA MAJI YA DHAHABU! Usipokunywa NDO UTAZEEKA MARA KUMI! Ukiwa na stress huna jinsi ya kuzipooza! Maana bangi huvuti, cocain hutumii, na pombe hunyw! Utapata uchizi! Ila ukiwa mnywaji you just drink your problems away!
Afu usipokunywa unakuwa MSHAMBA FOREVER! Verty anti social! Kumingle na watu ni impossible! Ukitoka kazini nyumbani! HUPATI HATA MICHONGO! Akupe nani!? Wakati sisi wanywaji mkitoka kazini mkasign in kitabu cha bar! Hapo DILI ZOTE ZINAPIGWA! Hata watu wa idara zingine ndo mnazoeana hapo! Kama madili ya kusupplu sijui nini hapa hapa unapewa GO AHED YA KULETA SUPPLIER YEYOTE! Ungemuomba ofisini dhubutuuuuuuuuuuu! Akuruhusu nani.? Au kuna kazi unataka uingize mtu, mnamualika tu HR, anaingia kingi mnakubaliana asubuhi cv iende! Game over!
Wapiiiiiii? Wengine SAFARI LARGER zinakimbilia danta vile vile! Hahaaaa! Yale yale Amarula inaongeza nguvu za kike! Hahaaaa! Sasa sijui nguvu za nini!nasikia Bailey ni noma kwa kukimbilia huko danta..........
KWA HIO HATA MBEGE HUJAWAHI KUNYWA? Nina mashaka na uchaga wako!
Una mawazo kama yangu mkuu, mwanamke hapendezi kunywa pombe
HAHAHAAAA! Embu kajaribu HR AKIWA SOBBER umuombe umlete ndugu yako hana cheti, au nenda PROCUREMENT waambie huna kampuni, na kampuni ya mshkaji wako haina documments zotena unataka tenda ya kusupply furniture jengo jipya na i pad mpya kwa mabosi uone kazi! Hahahaaaaaa! DILI MANAKE YOU DONT DESERVE BUT YOU ARE GIVEN THE GO AHEAD ANYWAY! Na bar ndo sehemu any suggestion doesnt sound prepostrous! Kuna Boss wangu way back when kulikuwa na promotion inaanza, sasa sikuwekwa, nikamvizia bara anayokunywa nikajifanya tumekutana tu bahati mbaya, akaniambia kaeni hapa tujiunge! Katiti nikasuggest na mimi niwemo kwenye promotion, akakubali just like that! Chezea bia wewe! Tena akanifanya incharge msaidizi! Asubuhi watu wanaambiwa flani atakuwa anamsaidia flani kusimamia! Wakaguna tu! MJINI HAPA!we dada muongo! Ni lini na wapi wamesema usipokunywa pombe hupati dili naona kukuru kakara nyingi ilimradi uihalalishe pombe
npo kwenye dozi dr wangu kanambia nisinywe...
we dada muongo! Ni lini na wapi wamesema usipokunywa pombe hupati dili naona kukuru kakara nyingi ilimradi uihalalishe pombe
Sisi mtu asiekunywa pombe UNLESS TUMTUMIE KAMA DEREVA hapanaaa asieee atatu boa! Akafie mbele na walokole wenzie! Mchungaji uwanja wa shetani umefata nini.?
Juzi tumeenda sendoff ya walokole, eti wanatupa bavaria na vijuice! Watu tuna grants zetu na visichana kwenye pochi, chini ya meza tumepanga WINDHOECKza kutoshaaa, weee fullsahngweee! Meza full kuchangamkaaa! MC ALIPATA AMEN ZA KUTOSHA KABISAAA TOKA MEZA YETU! Wakaka wakilokole wakija pale kutaka kampani wanashangaa too much hostility mpaka wanaondoka, nani anataka watukate stimu wakati stimu zimelipiwa!???:A S wink:
HAHAHAAAAAAA! Mchawi ndo anamjua mchawi mwenzie! Umejuaje kama mimi mchawi?huyoo dada sio muongo tu bali ni mchawi ,afu inaonekana ni mtu mmoja wa kukaa vijiwen sana maana kwa uongo watu wa vijiweni ni noumahh sanah