Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Hahaaaaaa! NAONA UMEJIPA CHEO CHA MUNGU UNAHUKUMU KABISAAA SAHIVI! Jiangalie jiraniUSIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA!

Alafu ungejua mimi dini naijua hatari hata usingenipimia! Neno gani nisilolijua Vita vyote 72 vya nyie PREOTETISTANTS. na 73 vy sie ROMAN CATHOLICS! Agano jipya vitabu vyote 45 kwenu na 46 kwetu, bna agano jipya 27 vyoteee! Ujue mimi biblia nimeisoma kabisaa darasani sio kujifunza juu juu! BIBLE KNOWLEDGE wanaita, Mungu akijaalia nitasoma na THEOLOGY kabisaaa!

SIWEZI KUWA KAMANDA WA SHETANI HATA SIKU MOJA!

Kuijua biblia na mpangilio wake ni tofauti na kuliishi neno mamito

ha ha ha ntakalia kreti make stuli ndefu lazma ntaanguka....

have a glass

9k=
liquors.jpg

Hahaaaaaa! NAONA UMEJIPA CHEO CHA MUNGU UNAHUKUMU KABISAAA SAHIVI! Jiangalie jiraniUSIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA!

Alafu ungejua mimi dini naijua hatari hata usingenipimia! Neno gani nisilolijua Vita vyote 72 vya nyie PREOTETISTANTS. na 73 vy sie ROMAN CATHOLICS! Agano jipya vitabu vyote 45 kwenu na 46 kwetu, bna agano jipya 27 vyoteee! Ujue mimi biblia nimeisoma kabisaa darasani sio kujifunza juu juu! BIBLE KNOWLEDGE wanaita, Mungu akijaalia nitasoma na THEOLOGY kabisaaa!

SIWEZI KUWA KAMANDA WA SHETANI HATA SIKU MOJA!

huwez kuwa kamanda WA shetani wakati ushajivika vyeo vya jeshi lake,unahubiri ushetani halaf unasema unaijua dini, kuwa serious basi!

Kuna demu aliniacha mdomo wazi....ukimcheki yupo very classic nkamuuliza siku umeamua haswa kunywa mwisho ngapi, akasema sizidishi 9! Nimeshangaa sana, mwanamke hadi bia 9?

wengine hizo hata steam haipo mpaka niweka na kisichana juu

Tuuuuu? BIA? Je mi Vodka?

Hizi pombe ngumu kama vodka wakati unaanza kunywa inakuwa ngumu kumeza,ukishaanza kulewa na kufikia kati yaani tamu balaa,BTW bia za kuvimbisha na kuharibu shape

Kuijua biblia na mpangilio wake ni tofauti na kuliishi neno mamito
HUWEZI KUSHI NENO USILOLIJUA HATASIKU MOJA! Na huwezi kujua neno kama hujui FORMATION YAKE, KWANINI LILIANDIKWA, KWANINI VITABU VILIGAWANYWA, KWANINI VITABU HIVI VILITANGULIA NA VINGINE VIKAMALIZIA! Na huwezi kuishi neno la kukurupukia kati kati hujui lilianzia wapi ikawaje! Biblia ni kitabu kimoja watu wanakisoma robo robo!
NDO MAANA NIKAMWAMBIA MIMI BIBLE SIKUJIFUNZA VIPANDE VVIPANDE KANISANI KINACHOSOMWA SIKU HIO NIMOOOO! NILIJIFUNZA DARASANI FROM PAGE 1! Kwanini biblia iliandikwa, na mambo mengine mengi ambayo kanisani hayafundishwi,
Na usiombe unikute nabishana na hawa PROTETISTANTS utapendaaa! Maana wengi wa protetistants bible hawaijui! By Protetistants i mean Lutherans, Anglicans, Pentecoste kasoro ADVENTIST na JEWS ndo wako kivyao katika wakristu!
Najua mpaka historia ya dini ya kina mfalme Constantine Napoleone wa karne hizoooo! Niko deep sanaa aiseee!

Hahahahhaha subiri hizo fix zake ntakazopiga hapo. Nikiona swali silijui, najifanya oooh hiyo nilitest siku moja but I didn't like the way it tastes, thus why I decided to stick with xxxx (nataja mbrand mwingine naojua hawajausikia). Tutaelewana tu, madada wa mjini muwe peke yenu tu akhuuuuu.

cocktail iliyochanganywa na matunda , unapata vitamini huku unalewa.....

jipatie jagi zima samaki samaki hapo M. city
28510_strawberry_basil_lemonade_620.jpg

huwez kuwa kamanda WA shetani wakati ushajivika vyeo vya jeshi lake,unahubiri ushetani halaf unasema unaijua dini, kuwa serious basi!

Hahaaaaa! Niko serious mchungaji! Ushetani gani naohubiri labda tuanzie hapa? Afterall hapa sio madhabauni, ni sehemu tu ya maongezi!
Na dini mimi naijua interms of RELIGION kama dini na madhehebu yake na BIBLE kama bible yenyewe regardless ya madhehebu!
Let hoja za kidini tuchambue!

Hizi pombe ngumu kama vodka wakati unaanza kunywa inakuwa ngumu kumeza,ukishaanza kulewa na kufikia kati yaani tamu balaa,BTW bia za kuvimbisha na kuharibu shape

wazee wa lite wanakuwaga na vifriji........
f2.jpg

Hahaaaaa! Niko serious mchungaji! Ushetani gani naohubiri labda tuanzie hapa? Afterall hapa sio madhabauni, ni sehemu tu ya maongezi!
Na dini mimi naijua interms of RELIGION kama dini na madhehebu yake na BIBLE kama bible yenyewe regardless ya madhehebu!
Let hoja za kidini tuchambue!

dah! Dini unazichukulia poa Sana

Back
Top Bottom