FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.
yaani kila kitu mwanamke mwanamke
Kwani hizi Pombe zimetengenezwa kwa ajili ya wanaume tu Loh duniani kuna mengi sawa sawa na bahari
Hivi Amarula ni ya wanaume?