Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Mimi Nakunywa, napenda mwanamke wangu nae akiwa anakunywa, hasa whiskey. Kwangu mwanamke asiegusa pombe naona tutasumbuana tu kwa sababu wote mkiwa mnakunywa, mnakuwa mna uwezo mkubwa zaidi wa kupatana na kuwa na understanding katika maswala mengi.
Sidhani kama pombe inapunguza mvuto wa mwanamke. Tena wengine akipata Amarula au Dompo, wine and such, utapenda macho yanavyoongezeka mvuto.
 
DSC_1105.JPG

Siyo lara1 kweli huyu ama nimekosea kuona...!
 
Last edited by a moderator:
Nothing bad with alcohol. Mi bia sinywi ila wine napeleka balaa.
 
We Kata...Inaelekea uelewa wako mdogo kuhusu uchagani. Machame kwingine na masama ni kwingine. Tutunzie heshima. Hujui kama mwajiri wako anauhusiano na huko. Utakuja ropoka kazini uone moto.
 
What is the impact of alcohol on physical arousal?

Let's take a look at what happens to our bodies when we drink alcohol.

Alcohol is a central nervous system depressant. Alcohol acts by inhibiting parts of the central nervous system important for sexual arousal and orgasm -- respiration, circulation and sensitivity of nerve endings.

Alcohol dehydrates the body. Sexual arousal needs a certain amount of blood to bring oxygen and greater sensation to the genitals.

Alcohol can make getting an erection more difficult. Large amounts of alcohol (or long-term) consumption has been associated with problems getting erections. Dehydration with drinking causes less blood volume and a rise in angiotensin, the hormone associated with erectile dysfunction. Alcohol's inhibition of the central nervous system also contributes to the problem.

Alcohol can cause vaginal dryness. The dehydration common when drinking alcohol can contribute to fatigue, headaches and vaginal dryness.

Alcohol can delay or prevent orgasm. In 2004, a study found 11% of alcohol users were likely to have problems reaching orgasm. The men had difficulty ejaculating while the women needed much more stimulation to have an orgasm than women who had little or nothing to drink.


Copy n paste
 
Ni hupendi mwanamke anayekunywa pombe au unahofia gharama za kinywaji chenyewe.
 
Back
Top Bottom