Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

mke ni mlezi wa kwanza wa familia na mara nyingi kama sio mara zote anakaa na watoto kwa asilimia kubwa, hivyo sio heshima wala sio jambo la kheri akiwa anakunywa pombe kiukweli
Nikisema humu mke lake sink na dining table watu wananuna humu! HAHAHAA!
 
Ajabu tukikuuliza wewe utatuambia unakunywa....don't be so selfish boy...maisha yenyewe mafupi haya

Mate hapo umenena,maisha yenyewe yakwapi?wengine wanazuga kwenye Mai kumbe walevi kufa kwenye mambo mengine.
 
YESU ALIKUWA ANAKUNYWA DIVAI HANYWI? Si yeye alibadilisha MAJI KUWA DIVAI ILI WATU WAFAIDI VIZURI HUKO KANA? Muache unafiki mda mwingine!

Hahahaa haaaa
Kweli aligeuza sibishi!
Na ndo maana ht mapadri baadhi wanatumia wine!
Hawaamini km ni dhambi.

Ila kumbuka biblia hyohyo imekataza pombe!
So u hv to b carefully!
Kutafsiri biblia
 
pombe kwa jinsia zote si nzuri kwanza mnywa pombe mara nyingi huwa anazeeka haraka kimtindo
Dogo usinywe kwasababu ni UNDERAGE! Ila ukifika of age PIGA MAJI YA DHAHABU! Usipokunywa NDO UTAZEEKA MARA KUMI! Ukiwa na stress huna jinsi ya kuzipooza! Maana bangi huvuti, cocain hutumii, na pombe hunyw! Utapata uchizi! Ila ukiwa mnywaji you just drink your problems away!

Afu usipokunywa unakuwa MSHAMBA FOREVER! Verty anti social! Kumingle na watu ni impossible! Ukitoka kazini nyumbani! HUPATI HATA MICHONGO! Akupe nani!? Wakati sisi wanywaji mkitoka kazini mkasign in kitabu cha bar! Hapo DILI ZOTE ZINAPIGWA! Hata watu wa idara zingine ndo mnazoeana hapo! Kama madili ya kusupplu sijui nini hapa hapa unapewa GO AHED YA KULETA SUPPLIER YEYOTE! Ungemuomba ofisini dhubutuuuuuuuuuuu! Akuruhusu nani.? Au kuna kazi unataka uingize mtu, mnamualika tu HR, anaingia kingi mnakubaliana asubuhi cv iende! Game over!
 
Hahahaa haaaa
Kweli aligeuza sibishi!
Na ndo maana ht mapadri baadhi wanatumia wine!
Hawaamini km ni dhambi.

Ila kumbuka biblia hyohyo imekataza pombe!
So u hv to b carefully!
Kutafsiri biblia
WAPI IMEKATAZA POMBE? Maana si agano jipya wala la kale DIVAI ilikuwa kama kazi!
 
Dogo usinywe kwasababu ni UNDERAGE! Ila ukifika of age PIGA MAJI YA DHAHABU! Usipokunywa NDO UTAZEEKA MARA KUMI! Ukiwa na stress huna jinsi ya kuzipooza! Maana bangi huvuti, cocain hutumii, na pombe hunyw! Utapata uchizi! Ila ukiwa mnywaji you just drink your problems away!

Afu usipokunywa unakuwa MSHAMBA FOREVER! Verty anti social! Kumingle na watu ni impossible! Ukitoka kazini nyumbani! HUPATI HATA MICHONGO! Akupe nani!? Wakati sisi wanywaji mkitoka kazini mkasign in kitabu cha bar! Hapo DILI ZOTE ZINAPIGWA! Hata watu wa idara zingine ndo mnazoeana hapo! Kama madili ya kusupplu sijui nini hapa hapa unapewa GO AHED YA KULETA SUPPLIER YEYOTE! Ungemuomba ofisini dhubutuuuuuuuuuuu! Akuruhusu nani.? Au kuna kazi unataka uingize mtu, mnamualika tu HR, anaingia kingi mnakubaliana asubuhi cv iende! Game over!

aisee nina washkaji hawanywi pombe lakini tunakaa nao kijiwe cha gambe hadi mida mibaya!!!!!!
 
WAPI IMEKATAZA POMBE? Maana si agano jipya wala la kale DIVAI ilikuwa kama kazi!

Habakuki 2:15-16, inasema hivi: 15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
16 Umejaa aibu badala ya utukufu; unywe nawe, uwe kama mtu asiyetahiriwa; kikombe cha mkono wa kuume wa Bwana kitageuzwa ukipokee, na aibu kuu itakuwa juu ya utukufu wako.
 
hata mimi huwa nawashusa kiasi fulani...
Kuna baa fulani ipo karibu na mitaa yetu...dah nilimkuta mwanamke kanywa pombe halafu nguo aliyovaa, na jinsi anavyoongea nikaona duuuh huyu giza likiingia wanaume wanaweza mfanyia chochote..

Kwa kweli sura ya mwanamke haipendezi kulewa....Au bora kunywa home kwako mbili tatu kwaajili yakujifurahisha ila si kwenda bar.....Nyumbani inapendeza kunywa na hasa unapokuwa na mzee sababu kilevi nacho kinatoa aibu fulani ktk masuala fulani na kulegeza mwili...Ila sio mwanamke kwenda bar.....NO NO BIG NOOO






Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.
 
KITU nilichokigundua ni kuwa watu hutafsiri mistari ya biblia kinyume kwaajili ya kujinufaisha yeye....Atasema pombe inaruhusiwa basi kwaajili yeye anakunywa asionekane anatenda dhambi..
Bora kukubali kuwa imekatazwa ila wewe unatenda dhambi...Mbona kuzini kumekatazwa ila watu wanazini...Hata mimi nakubali natenda dhambi ya kuzini japo sibadilishi maana ya Kitabu cha Mungu



Hahahaa haaaa
Kweli aligeuza sibishi!
Na ndo maana ht mapadri baadhi wanatumia wine!
Hawaamini km ni dhambi.

Ila kumbuka biblia hyohyo imekataza pombe!
So u hv to b carefully!
Kutafsiri biblia
 
Eti nimekaa bar na mke wangu tunashindana kufungua vizibo...so pathetic!! Na trend ya wadada kunywa/kulewa inakuwa kwa kasi sana. Lakini birds of the same feathers....!
 
Soma pia maandiko haya hapa, 1 Kor 6:10; 1Timothy 3:2-3; Efeso 5:18; Walawi 10:9; Hesabu 6:3; Kumbukumbu 29:6; Waamuzi 13:4,7,14; 1 Samweli 1:15; Mithali 20:1; 31:4,6; Isaya 5:11,22; 24:9; 28:7; 29:9; 56:12; Mika 2:11; Luka 1:15
 
Hebu tuendelee kujielimisha msome mdau alivyochambua hapa chini:

Scripture contains many warnings regarding the drinking of alcohol (Leviticus 10:9; Numbers 6:3; Deuteronomy 29:6; Judges 13:4,7,14; 1 Samuel 1:15; Proverbs 20:1; 31:4,6; Isaiah 5:11,22; 24:9; 28:7; 29:9; 56:12; Micah 2:11; Luke 1:15). However, Scripture does not necessarily forbid a Christian from drinking beer, wine, or any other drink containing alcohol. In fact, some Scriptures discuss alcohol in positive terms. Ecclesiastes 9:7 instructs "drink wine with a merry heart." Psalm 104:14-15 states that God gives wine "that makes glad the heart of men." Amos 9:14 discusses drinking wine from your own vineyard as a sign of God's blessing. Isaiah 55:11 encourages "yes, come buy wine and milk…"

What God commands Christians regarding alcohol is to avoid drunkenness (Ephesians 5:18). The Bible condemns drunkenness and its effects (Proverbs 23:29-35). Christians are also commanded to not allow their bodies to be "mastered" by anything (1 Corinthians 6:12; 2 Peter 2:19). Drinking alcohol in excess is undeniably addictive. Scripture also forbids a Christian from doing anything that might offend other Christians or might encourage them to sin against their conscience (1 Corinthians 8:9-13). In light of these principles, it would be extremely difficult for any Christian to say he is drinking alcohol to the glory of God (1 Corinthians 10:31).
Jesus changed water into wine. It even seems that Jesus drank wine on occasion (John 2:1-11; Matthew 26:29). In New Testament times, the water was not very clean. Without modern sanitation efforts, the water was often filled with bacteria, viruses, and all kinds of contaminants. The same is true in many third-world countries today. As a result, people often drank wine (or grape juice) because it was far less likely to be contaminated. In 1 Timothy 5:23, Paul was instructing Timothy to stop drinking the water (which was probably causing his stomach problems) and instead drink wine. In that day, wine was fermented (containing alcohol), but necessarily not to the degree it is today. It is incorrect to say that it was grape juice, but it is also incorrect to say that it was the same thing as the wine commonly used today. Again, Scripture does not necessarily forbid Christians from drinking beer, wine, or any other drink containing alcohol. Alcohol is not, in and of itself, tainted by sin. It is, rather, drunkenness and addiction to alcohol that a Christian must absolutely refrain from (Ephesians 5:18; 1 Corinthians 6:12).
Alcohol, consumed in small quantities, is neither harmful or addictive. In fact, some doctors advocate drinking small amounts of red wine for its health benefits, especially for the heart. Consumption of small quantities of alcohol is a matter of Christian freedom. Drunkenness and addiction are sin. However, due to the Biblical concerns regarding alcohol and its effects, due to the easy temptation to over-consumption of alcohol, and due to the possibility of causing offense and/or stumbling of others – it is usually best for a Christian to abstain entirely from drinking alcohol.

Source: Strictly gospel blog
 
Back
Top Bottom