lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,209
Mi mchagga ujue! Kutokunywa pombe kwetu ni aibu ujue!Wanawake walevi utawajua tu....
Mi mchagga ujue! Kutokunywa pombe kwetu ni aibu ujue!Wanawake walevi utawajua tu....
Tuuuuu? BIA? Je mi Vodka?Kuna demu aliniacha mdomo wazi....ukimcheki yupo very classic nkamuuliza siku umeamua haswa kunywa mwisho ngapi, akasema sizidishi 9! Nimeshangaa sana, mwanamke hadi bia 9?
Tuuuuu? BIA? Je mi Vodka?
Kama sio concod!nasikiaga eti zikipanda kichwani zinahamia huko chini.
nasikiaga eti zikipanda kichwani zinahamia huko chini.
je akivuta sigara????au akila ugoro??
Eee hata mi nasikiaga eti kuna pombe zinakimbiliaga chini
Mi mchagga ujue! Kutokunywa pombe kwetu ni aibu ujue!
una lako tu hivi hujaacha utamaduni wa kwenu bado???? nyie mnywe sisi tusinywe??? hahahaaaaa unapiga fanta orange bar??? ....,.
unatabu sana wew ujue bia iko na mzuka wake ujue hunywi kaa pembeni tuachie sisi vichwa vimezoea mbege toka tuko tumboni mwa mama ...........
na mvuto tunao sema wew umezoea wale wa maji na juisi ya kukoroga hahahaaaaaaa huna hela za kulipa bear????
....There aint a SEXY sight as a woman with a glass of wine, shots, liquor, beer et al! Inakuhabarisha tu
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.
...hata mwanaume mnywa pombe pia hapendezi.....kwa kuwa wengine huwa wanajinyea na kujikojolea...na baadhi yao mpaka wanaliwa kiboga kwa ajili ya pombe...
drink responsibly
taratibu bibiye....
![]()