Chisamba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 1,521
- 788
HAHAHAAAAAAA! Mchawi ndo anamjua mchawi mwenzie! Umejuaje kama mimi mchawi?
Mimi ni mtu wa kushinda KAUNTA natiririsha maji ya dhahabu, wala si utani! Vijiweni ilikuwa mambo ya DARK 70s siku hizi TIMES HAVE CHANGED, watu wanashinda BAR, wanakunywa na kusikilizia mishe mishe!
sasa usimezeshee watu sumu bwanah kama ww ni mtu wa kaunta si ww bwanah,ila nenoo moja tu kwako kwan ww background yakoo ikoo vipi kimaisha(ukijibu na hapoo basi ww mbishi bwanah loohh)