joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,313
- 32,109
Endelea kujizihirisha tabia yako........ kuna sehemu nimekuambia unatafuta mume?What makes you think i care about how you think of my behavior, au unadhani kila mwanamke yuko humu kuigiza u wife material ili apate mwanaume, wewe unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja
Kwanza kutafuta mume sio jambo baya na ndio maana humu kuna thread special za kutafuta wachumba, acha kujishtukia kama unatafuta wewe tafuta,ila hamna sehemu niliyo sema unatafuta mume.
Uzuri nafahamu huna unacho kijua.