Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Eeh sasa jitu hunilishi na hunivishi afu unipandishie koromeo how dare you

Mwanaume akikulisha.na.kukuvisha basi tegemea.maajabu meengi, dharau, usaliti na mateso kibao kwasababu anajua huezi ishi bila yeye huna pakwenda hehehe

Thanks to our parents
Including baba yako?
 
Kwanini unyenyekevu unanasibishwa na mwanamke kukubali manyanyaso? Mimi kwa kweli the only thing i can offer ni “love” na spices zake…. I know very well how to draw the line to disrespects.

Hivi wanaume wanaelewa kwanini watu wa zamani (waliokuwa na ndoa za kupigiwa mfano) wamepambana kwa hali na mali kuwapeleka watoto wao wa kike shule? Ni wazi wababa wanajua makosa waliyoyafanya na wamama wanajua makosa waliyofanyiwa…… hakuna anayekubali mwanae apitie hayo tena.

Mimi nawaambia watu, Ndoa za zamani zingekuwa nzuri kiasi hiko matokeo yasingekuwa haya tunayoyaona, kwa akili zangu ndogo ni kama hao hao watu wa zamani walifika point wakasema this is bullshit, wakaamua kulea watoto vinginevyo
Huwa nawashangaa watu wanaowatolea mifano bibi zetu wakati ukweli ni kwamba bibi zetu walikuwa vile si kwa kupenda ila ni kwa sababu hawakuwa na sauti ya kujitetea, zamani ndoa ilikuwepo kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume tu na ili mwanaume afurahi kwenye ndoa inabidi mwanamke asacrifice furaha yake aishi kama mtumwa for the rest of her life, yani mfumo dume uliweka mazingira ya kumfurahisha mwanaume tu hata kama itamaanisha kumkandamiza mwanamke
 
Ndio maana nimetumia neno "......wachache mnoo........",kwa maana majority wapo hivyo au hao nao majority kwa mtizamo wako walitendwa na wanaume?

Halafu hawa wadada wenyewe nimewajua huyo mwenye maduka ya nguo, nimejua kipindi nipo O-Level, wapili kipindi nipo A-level alikuwa jirani yetu.Ndio maana najua mpaka background yao na malezi yao sababu walikuwa marafiki zangu. Nikilinganisha na hao majority tabia zao kiroho na hawa wawili ni ardhi na mbingu.

Ila majority dada zangu, mkiwa na hela viburi,mashindano,jeuri na ndio maana naamini hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu huambatana na manyanyaso na masimango.Watafute hawa vijana wanao lelewa na wanawake wengine wanakula mpaka makofi.

Leo sipo kwa ajili ya ligi,najua unapenda ligi na wanaume sijui wamekufanya nini. Ila na mpongeza huyo mwanaume anaye date na ww ana moyo wa kuamisha milima.
Hivi wanaume wa jf hamuwezagi kujadili hoja bila kujadili maisha ya mtu binafsi what kind of argument is this, ushawahi kuona mahali nimesema kauli kama "wewe kwa mitazamo hiyo huwezi kuwa na mke wa maana", au "huyo mke uliyenaye ana kazi nzito namuonea huruma"

Jadilini hoja acheni ad hominem attacks zinaonesha kuwa mmeshindwa hoja, kwa sababu si lazima kila tunachojadili humu kiwe na uhusiano na maisha yetu halisi, mfano si kila anayetetea walemavu basi naye ni mlemavu kitu ambacho wanaume wengi wa jf mnalazimisha kiwe

Ndio mimi nasema wanawake wengi mnaowalalamikia na kuwaita kila aina ya majina, lazima walikutana na wanaume wahuni wakawabadili mioyo hakuna mwanamke bikira, na anayeingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza bila kuwa na mapenzi ya dhati hayupo
 
Hivi wanaume wa jf hamuwezagi kujadili hoja bila kujadili maisha ya mtu binafsi what kind of argument is this ushawahi kuona mahali nimesema kauli kama "wewe kwa mitazamo hiyo huwezi kuwa na mke wa maana" au "huyo mwanamke uliyenaye ana kazi namuonea huruma"

Hebu jadilini hoja acheni ad hominem attacks zinaonesha kwamba mmeishiwa hoja, kwa sababu si lazima kila tunachojadili hapa kiwe na uhusiano na maisha yetu halisi, mfano si kila anayetetea walemavu basi naye ni mlemavu kitu ambacho wanaume wengi wa jf mnalazimisha kiwe

Ndio mimi nasema wanawake wengi mnaowalalamikia na kuwaita kila aina ya majina, lazima walikutana na wanaume wahuni wakawabadili mioyo hakuna mwanamke bikira, na anayeingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza bila kuwa na mapenzi ya dhati hayupo
Achana naye huyo anaishi sebuleni kwa shemeji yake🤣Hana hela anakasirikia hata paka
 
Hivi wanaume wa jf hamuwezagi kujadili hoja bila kujadili maisha ya mtu binafsi what kind of argument is this, ushawahi kuona mahali nimesema kauli kama "wewe kwa mitazamo hiyo huwezi kuwa na mke wa maana", au "huyo mke uliyenaye ana kazi nzito namuonea huruma"

Jadilini hoja acheni ad hominem attacks zinaonesha kuwa mmeshindwa hoja, kwa sababu si lazima kila tunachojadili humu kiwe na uhusiano na maisha yetu halisi, mfano si kila anayetetea walemavu basi naye ni mlemavu kitu ambacho wanaume wengi wa jf mnalazimisha kiwe

Ndio mimi nasema wanawake wengi mnaowalalamikia na kuwaita kila aina ya majina, lazima walikutana na wanaume wahuni wakawabadili mioyo hakuna mwanamke bikira, na anayeingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza bila kuwa na mapenzi ya dhati hayupo
Nishakuzoea.
 
Alaa kumbe unajua kwamba humu hatujuani sasa mbona wewe unajifanya unayajua maisha ya wenzio, mara oo huyo anayedate na wewe ana moyo wa kuhamisha milima sijui upuuzi gani haya wewe kuambiwa tu unaishi kwa shemeji umemind, mkiona mmeishiwa hoja kubalini ukweli tu hizo personal attacks kila mtu anaziweza ni vile hatuzientertain sababu hazina uhalisia na hazihusiani na hoja
Wapi nimemind....... au kuna jibu baya nimemjibu huyo best yako?. Kwanza huwaga sipendi kuwatukana watoto wa kike humu JF zaidi ya kuwapuuzia na hasa ninapo kutana na type zenu.
 
Back
Top Bottom