Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
kma inakujaaa ivi lakin inakataa
 
Una wazimu si bure! Mbona wake zetu ni vigogo na bado wanatuheshimu, wanapika, wanatandika Vitanda, wanatufuta tukimaliza kula k zao, nk wakati huo huo wanaleta pesa nyumbani. Acheni ujinga wenu. Acha ku generalise. Mwanamke anaheshimu mume wake hata akiwa na elimu, cheo Inategemea na makuzi yake.
Hivi kwa mfano Samia anamtandikia mumewe?
 
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

* Kunawakati tunapaswa kuyapuuza mahitaji ya wanawake na kuzingati mahitaji yetu wenyewe binafsi kama wanaume*
wanawake ni matapeli wa ndoa, wanataka wahudumiwe kama watoto
 
Mfano hai kabisa mama yako kafuata chakula kwa baba yako au unaropoka tu mkuu muda mwingine waheshimuni hawa wanawake japo wachache wanazingua ila sio dili sana kuwananga kila saa kama vile jinsia me imekamilika wakati wapo wanaume wangese tu
Lekebisha hiyo kauli sio wachache ndo wanazingua, kwa kizazi hiki Wengi ndo wanazingua
 
Eeh sasa jitu hunilishi na hunivishi afu unipandishie koromeo how dare you 😂😂😂😂😂😂😂😂

Mwanaume akikulisha.na.kukuvisha basi tegemea.maajabu meengi, dharau, usaliti na mateso kibao kwasababu anajua huezi ishi bila yeye huna pakwenda hehehe😁😁😁😁

Thanks to our parents 🙏💖
Kwahiyo wanaume wote wanaolisha na kuvisha wake zao kwa asilimia 100, wananyanyasa wake zao Palina
 
Kwanini unyenyekevu unanasibishwa na mwanamke kukubali manyanyaso? Mimi kwa kweli the only thing i can offer ni “love” na spices zake…. I know very well how to draw the line to disrespects.

Hivi wanaume wanaelewa kwanini watu wa zamani (waliokuwa na ndoa za kupigiwa mfano) wamepambana kwa hali na mali kuwapeleka watoto wao wa kike shule? Ni wazi wababa wanajua makosa waliyoyafanya na wamama wanajua makosa waliyofanyiwa…… hakuna anayekubali mwanae apitie hayo tena.

Mimi nawaambia watu, Ndoa za zamani zingekuwa nzuri kiasi hiko matokeo yasingekuwa haya tunayoyaona, kwa akili zangu ndogo ni kama hao hao watu wa zamani walifika point wakasema this is bullshit, wakaamua kulea watoto vinginevyo 😜
naungana na wanasema ndoa ni utapeli
 
Back
Top Bottom