Kama ni hivyo utofauti na malaya ni upi?Kama una hela kausha kaka.
Wewe ungekuwa demu ungekubali kutoa bure?
Kama ni hivyo utofauti na malaya ni upi?Kama una hela kausha kaka.
Wewe ungekuwa demu ungekubali kutoa bure?
Inabidi tutafute pesa tu ili tugegede bila hivyo itakuwa ni mwendo wa kujichukulia sheria mkononi mchawi lotion na sabuni😂 Asa itakuaje?
Nilikuwa pande za EB 25 Mbezi Makonde hapoWapi mzeya upo?
Basi sawaaMim sio mdogo ni Mkubwa sana
Kuwa serious na mambo ya msingi yanayohusu pesa. Mshauri atumie pesa yake kuimarisha afya, kupendeza, na kujiendeleza kiujuzi na sio kupoteza ili apate utelezi.Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?
Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa
Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Hitaji la binadamu ni mahusiano na sio kuteleza na kumwaga. Ndo maana Malaya hawezi kuwa replacement ya mpenzi.Kununua kunapunguza gharama sana tofauti na kudate na demu
Uongo . Watu tunaoweza kuhonga 10M tupo kwe misafara ya Rais, Sasa huyo dada ako tutakutana nae wapi?Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Malaya anajiuza,ila mwanamke wako unamuhudumia.usipomlea wewe atamlea Nani?au na wewe unataka ulelewe?Kama ni hivyo utofauti na malaya ni upi?
Weweee utaliwa vibayaa ujueeSasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?
Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa
Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Unachosema ni sahihi kabisa mdau alikuwa tu analinganisha tu gharamaHitaji la binadamu ni mahusiano na sio kuteleza na kumwaga. Ndo maana Malaya hawezi kuwa replacement ya mpenzi.
Ujengewe sanamuDaima usikatae ukiambiwa shida. Tena furahia mtu akitangaza shida zake kwako.
Hiyo ni ticket ya kumtafuna kirahisi.
Akikwambia kodi imeisha, usishtuke. Mwambie mbona ni jambo dogo tu, tukutane kesho nikupatie. Tena hapo unamtumia na 20,000 ya nauli. Kwa akili zao mbovu na tamaa zao za kijinga kesho yake atakutafuta. Mkikutana piga mbupu mpaka uchoke. Halafu mwambie nikitoka hapa tu nakutumia ule mzigo. Ndio nitolee hiyo. Na humpi hata mbuni kipande mbali ya ile 20 uliyotuma.