Wanawake wananuka shida siku hizi

Wanawake wananuka shida siku hizi

Wasalam wana JF za mida hii

Nimekuja na mada hii siku hizi wadada wananuka shida yani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na vocha ndio inaisha hivyo nitumie tuendelee kuwasiliana

Hujakaa sawa mara gesi imeisha mara kodi inaisha mara simu imepasuka kioo mara saloon inatakiwa elfu 50 mara viatu mara nguo ya sherehe unapewa majukumu mazito ndio kwanza umemweleza ya moyoni hata hajakubali ombi lako

Kwa kweli ni changamoto sana hata kama unakuwa na hela jamani wadada jirekebisheni hii tabia mnaomba kama walemavu tunaogopa hata kuomba namba kwa visa hivi juzi kuna bint jirani nimeomba namba yake akaniambia ili nikubaliwe ombi nimnunulie simu kama nayotumia mimi nina ushahid wa mida hii baada ya kujaribu kuchati na wadada wawili wadada hii tabia inakera sana kwa tabia hiz kuolewa kwenu itakuwa changamoto View attachment 2380933View attachment 2380934
Nipe namba zao niwatatulie shida zao nipo Arusha
 
Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
 
Basi mdogo wangu lala salama😆😆😆😆
 
Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Ma D nakuita mara tatu kunywa soda kwanza da angu
 
Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Ushajaribu au unesikia tu story ukute mwepesi tu analika hata kwa 20k
 
Sasa hapo mbona wote wewe na huyo mwanamke mnanuka shida!?

Maana wewe ungekua hunuki usingelalamikia kumlipia kodi ya rum3 ungemnunulia kiwanja au nyumba kabisa

Halafu inawezekana kwa huyo hiyo ikawa ndio style ya kukutema
Its true.

Mwanamke asipokutaka hakuna rangi utaacha kuona.

Ila akikutaka sasa akakupenda weeee hataki mia yako mbovu mbovu.

Hizi type za kuitana kupumzika ili 'asialibu' ratiba ni kazi kweli kweli.
 
Kuna sister yangu ameshaolewa ukimtongoza anakukubalia alafu anakuomba million 10 hiki kiunzi wajuvi ndo wanaoweza kukiruka wengi wanafail
Hawa wanaliwaga bure mzee ,wahun tunaelewa mbona [emoji23]
 
Kama una hela kausha kaka.
Wewe ungekuwa demu ungekubali kutoa bure?
 
Back
Top Bottom