kasuagatz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2021
- 288
- 360
Wasalam wana JF za mida hii?
Nimekuja na mada hii, siku hizi wadada wananuka shida. Yaani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo, maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na vocha ndiyo inaisha hivyo nitumie tuendelee kuwasiliana.
Hujakaa sawa mara gesi imeisha, mara kodi inaisha, mara simu imepasuka kioo, mara saloon inatakiwa elfu 50, mara viatu, mara nguo ya sherehe, unapewa majukumu mazito ndiyo kwanza umemueleza ya moyoni hata hajakubali ombi lako!
Kwa kweli ni changamoto sana, hata kama unakuwa na hela. Jamani wadada jirekebisheni hii tabia, mnaomba kama walemavu. Tunaogopa hata kuomba namba kwa visa hivi.
Juzi kuna binti jirani nimeomba namba yake akaniambia, ili nikubaliwe ombi nimnunulie simu kama ninayotumia mimi. Nina ushahidi wa mida hii, baada ya kujaribu kuchati na wadada wawili.
wadada hii tabia inakera sana, kwa tabia hizi kuolewa kwenu itakuwa changamoto.