Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Kwani Broo??umekabidhiwa majukumu na serikali uwalishe,,uwavishe na uwape malazi??Mbona unalalama mnoo Kwa yasiyo kuhusu,,Kila MTU na maisha yake,,usilazimishe fikra,,mitazamo,,na maono yako kwenye maisha ya wengine utapoteza muda kama si uhai
Shida ni nini?

Mbona kama unaumia kwa bakora anazochapwa mwingine.

Acha tabia za kike hizi. Mwanaume huwa anatuliza kichwa mwanaume mwingine anapokuwa ana address jambo na sio kuingilia na kumkatisha.

Kuna fala m'moja one time alikuwa anajifanya advocate wa madem kama wewe. Alikuja pigwa na kitu kizito akalia sana tukapata taarifa tukamkaanga mchana kweupe.

Hadi leo amejifunza kuwa mwanaume unatakiwa kuwa kimya na kuelewa statements za mwanaume mwenzako badala ya kumchallenge as if wewe ni demu sasa unatetea mademu wenzako.

Hebu kaza misuli hiyo acha kuwa feminist, mtoto wa kiume unakuwa soft na kuattack mwanaume mwenzako anapozungumzia mwanamke wewe unamuwakilisha nani sasa tukikuuliza?

Acha kuwa dhaifu.
 
Mpaka anafika miaka30 katiwa tiwa wewe mpaka K imeota sugu na kupanuka kama kisima, itabidi wanaume tukae kikao baada ya pasaka tujiwekee sheria kuwa ni marifuku kuoa mwanamke aliyezidi miaka 25, alikuwa wapi.
Ukichukua mwanamke wa kuanzia 27+ hapo jua unabeba mke wa mtu na ukae mkao wa kushare mzigo.
 
Mm sielewag why mtu unapata nafasi ya kumsema ntu hajaolewa/oa, au kusikitika kisa hujaoa/olewa as if hayo ni mafanikio makubwa, br kuoa au kuolewa ni easy tu, hadi machizi wanaoa na kuolewa, sio big deal kabisa
Kusema hivi tayari inaonyesha wazi kuwa unaichukulia ndoa kama taasisi kuwa ni kitu cha kawaida. Hii tu inatosha kukufukuza kwenye chumba cha kujadili yanayohusu mahusiano.

Ndoa ndio lengo kuu la mahusiano ya Mwanaume na Mwanamke hapa duniani. Hakuna kitu cha maana kitafanyika kama watu watakuwa na mahusiano halafu yasiwe na tamati ya Ndoa.
 
Utanisamehe tu mkuu, siwezi kukosoa kundi zima la watu bila ushahidi.

Hayo ni mapokeo yako binafsi, wanawake wanaokusumbua wewe ndo wanawakilisha wanawake wote tz?
Ukiwa mfuatiliaji wa mambo fulani utaelewa nini huwa kinatokea na huanzia wapi.
 
Sawa ila naamini sio kweli naamini upo kwenye ndoa yako sasa unataka uwadanganye watoto wa kike wasibidalike but mtoa mada ameongea ukweli mchungu kama unapokutana mbegu ya limao kwenye dagaa ukiwa unakula ugali ukaitafuna kwa bahati mbaya UKWELI MCHUNGU
Umenikumbusha juzi nimekunywa uji wa futari umewekwa ndimu, nilipokaribia mwishoni mwishoni nikainamisha kikombe kukombelezea nikatia mdomoni na vimbegu vya ndimu si nikajua labda ni iriki au karafu au mdalasini, weeeeeeeee nilipovitafuna utamu wote ukakata kubabake. Nilichanganyikiwa.
 
Kusema hivi tayari inaonyesha wazi kuwa unaichukulia ndoa kama taasisi kuwa ni kitu cha kawaida. Hii tu inatosha kukufukuza kwenye chumba cha kujadili yanayohusu mahusiano.

Ndoa ndio lengo kuu la mahusiano ya Mwanaume na Mwanamke hapa duniani. Hakuna kitu cha maana kitafanyika kama watu watakuwa na mahusiano halafu yasiwe na tamati ya Ndoa.
Mzee, ndoa ni taasisi ya kawaida ndio ipo way overated, mnaipa umuhimu mno thus why watu wanaishia kupata stress tu,
Mtu anaweza asioe au kuolewa, akapata watoto, akawalea vema, wakawa wakubwa na wakawa na furaha kuliko niny mnaolazimisha taasis ya ndoa sijui ni nin na nin,

Ukiolewa/kuoa sawa, ukiona jau achana nayo, sio kitu cha lazima kuoa/kuolewa, kuna vitu vingi vya msingi hapa duniani kuvifanya ukiachana na ndoa
 
OMBA OMBA
ndio changamoto kubwa!
Hawa ndugu wanafeli Sana kwenye hiki kipengele..
Mtu anakuomba namba saa hii, baada ya saa moja anakupigia simu salamu moja tu unaanza kuonesha njaa zako na utapeli! Mara bando limekata, nywele zinafumuka muda huo huo, sijui mama anaumwa, una hamu na chips/ juice, Mara ooh " babe nkuombe kitu ila samahani lakini usije kuniona mimi napenda hela/mtu wa ajabu"..
Duh mapema yote hiyo?

WANAWAKE/MBINTI WAZURI/WAREMBO Kuweni na haya basi, acheni njaa za kijinga jaribuni kujibalansi kidogo kwanza kwani kabla ya kukutana na huyo mlikuwa mnaishije..?!
Kwa kifupi sisi men huwaona wa ajabu licha ya angalizo mnalotupatia kwa kutanguliza samahani zenu mapema !
Mwanaume makini huona kabisa hapo hakuna mtu bali amekutana tu na demu ambaye hawezi kwenda naye mbali, badala yake anawaza akupate akutumie kwa muda( kama msemavyo) kisha apite hiv!

"HAKUNA MWANAUME ANAPENDA MWANAMKE OMBA OMBA"!
Wanawake wanatafuta pesa wanaume wanatafuta mapenzi ya dhati ambayo atapendwa yeye kama yeye the same mama yake alivyompenda bila kumchaji chochote.

Kwa kifupi watoto wa kike wanatafuta spiritual energy ya baba zao kwa wanaume wanaokutana nao na wanaume tunatafuta spiritual energy ya mama zetu kwa wanawake.

Siku ambayo wanawake watajitambua kuhusu hilo ndipo wataanza kuona utulivu wa mahusiano kwa wanaume.

Inaanza na mwanaume kumkubali mwanaume at that young age akiwa hana hata mia, akampenda alivyo na kumjali huku akiwa fan wake namba moja katika maisha. Mwanaume wa hivi akifikia utu uzima then hofu yake inakuwa juu ya kumpoteza huyu mwanamke ambaye amekuwa kama new version ya mama yake tokea akiwa bwana mdogo therefore watakuwa na mikwaruzano ya kawaida ila hawatapishana kufikia hatua ya kukataana.

Upande wa pili mwanaume anamalizia hii kazi kwa kumtrust mwanamke ambaye amekuwa nae kwa muda mrefu sana kiasi kwamba hakuna flaws zake asizojua. Yaani akimtazama tu anajua huyu ana njaa, huyu anaumwa, huyu amefurahi, huyu anataka hiki au kile. Kimsingi mwanaume akifikia hatua hii ya mahusiano anakuwa amepata copy ya mama yake mzazi na zaidi na ndio hapo atampa kila kitu sio kwasababu ila ni kaajiri ya matokeo ya kuwa na mtu uliyemzoea hadi akawa kama ni mtu uliyemjua tokea ukizaliwa.

Ila sasa kwa hali ya sasa ya wanawake kuwaambia wanaume siwezi kuwa na mtu ambaye hawezi ni nunulia hata vocha ya buku. Then ukishatumika zaidi ya miaka 15 ukichoka unaleta habari za kujichomeka kwa mtu ili utulie huo ni utapeli tu kama utapeli mwingine.
 
Nilichogundua wanaume wanashabikia sana wanawake kuolewa kuliko wanawake wanavyotaka hizo ndoa. Kila mtu aishi aonavyo sawa.....
Wanaume wanaupendo wa kweli kwa wanawake na wanajipa jukumu la kuwalinda hata kama hawataishi nao.

Kwani nikuulize mwanamke akiolewa mimi kama mwanaume ninayepigia chapuo aolewe napata faida au hasara gani?

Ila nikuulize wewe ambaye unasapoti mwanamke mwenzako kukaa solemba akiishi tu kama ng'ombe asiye na mchungaji huku umri ukimuenda then akaishia kuzaa bila mume na kutaabika na malezi mwenyewe, kulea watoto wasio na baba, kutangatanga akijitafuta pesa ya malezi bila msaada, wewe hiyo hali inakufaidisha nini?

Kama haikufaidishi nikuulize swali, kuwa wewe furaha yako ni kuona wanawake wenzako wakiteseka hapa ulimwenguni au tukueleweje? [emoji848]
 
So furaha yako ni kuona mabinti za watu wanatangatanga, wanadanga, wanatumika kama sperm dumpster, wanachezewa na wanazeeka umri ukienda na nyuso za wasiwasi na sonona. Hicho ndicho unachotaka?
Sasa unataka aolewa na mtu asiempenda kisa nini??

Yaani umri mkubwa ndo umfanye aingie ndoani na jitu asilolipenda?

Huo umalaya na kudanga si anakua kapenda yeye, wapi imelazimishwa kua mwanamke asipoolewa basi awe mdangaji??
 
Mzee, ndoa ni taasisi ya kawaida ndio ipo way overated, mnaipa umuhimu mno thus why watu wanaishia kupata stress tu,
Mtu anaweza asioe au kuolewa, akapata watoto, akawalea vema, wakawa wakubwa na wakawa na furaha kuliko niny mnaolazimisha taasis ya ndoa sijui ni nin na nin,

Ukiolewa/kuoa sawa, ukiona jau achana nayo, sio kitu cha lazima kuoa/kuolewa, kuna vitu vingi vya msingi hapa duniani kuvifanya ukiachana na ndoa
Hebu nipe kitu au vitu vya msingi kushinda ndoa au vilivyopo juu ya ndoa kwa kuvilist tu hapa bila kuelezea deep, nataka kupata ufahamu kupitia wewe, nini ni muhimu ambacho watu wa sasa wanatakiwa kufocus? [emoji848]
 
Sasa unataka aolewa na mtu asiempenda kisa nini??

Yaani umri mkubwa ndo umfanye aingie ndoani na jitu asilolipenda?

Huo umalaya na kudanga si anakua kapenda yeye, wapi imelazimishwa kua mwanamke asipoolewa basi awe mdangaji??
Unahisi wanawake wanadanga kwasababu wanachagua tabia mbaya ya kutumia miili yao kujipatia mahitaji au ni kwasababu kumekosekana mwanaume serious wa kumpa uhakika wa matunzo na kumpatia mahitaji yake?

Umeshawahi kutafakari maisha ya mwanamke ambaye anaingia kwenye ndoa kwa dhamira ya kupata matunzo na ulinzi na heshima kutoka kwa mwanaume wake akikosa hiyo fursa anakuwaje?

Brother, kama ulishawahi kufanikiwa ukawa na pesa then ghafla ukafilisika ukakosa hata buku ya Pepsi , ukapanda daladala na ulikuwa ni mtu wa kupush gari kali, then ile aibu na fedheha plus kudhalilika watu wakikunyooshea vidole ndio hali inayomkaribia mwanamke ambaye amefika hadi miaka 30+ bila ndoa wala familia.

Kila anapopita anahisi kama anazomewa au kusemwa. Usidhani wanafosi ila ni sehemu ya kuwa mwanamke.

Kama wewe hapa unavyosema kuolewa sio lazima ni sawa na mwanamke aseme kuwa na kazi au biashara sio lazima mwanaume unaweza kuwa marioo na akaishi kwa kutegemea misaada ya ndugu,jamaa na marafiki. Unahisi huu ushauri wanawake wanaweza kuwapa wanaume, kama haufai je ni kwasababu gani? [emoji848]
 
Back
Top Bottom