Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanaume wanaupendo wa kweli kwa wanawake na wanajipa jukumu la kuwalinda hata kama hawataishi nao.

Kwani nikuulize mwanamke akiolewa mimi kama mwanaume ninayepigia chapuo aolewe napata faida au hasara gani?

Ila nikuulize wewe ambaye unasapoti mwanamke mwenzako kukaa solemba akiishi tu kama ng'ombe asiye na mchungaji huku umri ukimuenda then akaishia kuzaa bila mume na kutaabika na malezi mwenyewe, kulea watoto wasio na baba, kutangatanga akijitafuta pesa ya malezi bila msaada, wewe hiyo hali inakufaidisha nini?

Kama haikufaidishi nikuulize swali, kuwa wewe furaha yako ni kuona wanawake wenzako wakiteseka hapa ulimwenguni au tukueleweje? [emoji848]
Napenda sana criticism lakin mkuu, do you think hizi critics ni constructive? Zinajenga? Hata mzazi anafaa kumuadhibu mtoto kitofauti na sio kila siku fimbo.

Sasa kila siku wanaoandika humu ukisoma between the lines ni deep resentment na sio kujengana huku. Hata kama baba zetu, kaka zetu mna mapenzi mema na sisi lakin sio dhihaka zinazoporomoshwa humu kila siku. Na by the way kuna mabadiliko?

Behind keyboards kuna mashauri mengi sana ambayo sioni kama yanakuwa presented rather yanakuwa thrown at us. Na zaidi we unaona mabadiliko huko mtaani? Halafu mnaandika sana humu lakin kitaa mambo ni tofauti sana. Tangu mwanzo Mungu alitaka mwanaume awe kiongozi kwa mwanamke so hata huu uharibifu kuna mahali mlilega..ukweli usemwe.

Utakuta mtu hapa anaponda mwanamke, lakin ukifika kwenye uzi wa kimasihara ana visa 10 na wanawake kadha wa kadha. Mtu huyu huyu kwenye PM katongoza wanawake 10. Ukienda kwenye whatsapp yake anatongoza wanawake 10 na hapo ana ndoa. Tena na watoto wa kike juu. Halafu akija humu anawaasa wanawake (as you term it upendo).

Sasa what is this...if we were genuine then ingeanza na huku mitaani tuone mabadiliko. Wanaume mkiwa sawa wanawake watajishebedua na nani..tutatuliza makomwe ovi....it begins with YOU!!!
 
Shida ni nini?

Mbona kama unaumia kwa bakora anazochapwa mwingine.

Acha tabia za kike hizi. Mwanaume huwa anatuliza kichwa mwanaume mwingine anapokuwa ana address jambo na sio kuingilia na kumkatisha.

Kuna fala m'moja one time alikuwa anajifanya advocate wa madem kama wewe. Alikuja pigwa na kitu kizito akalia sana tukapata taarifa tukamkaanga mchana kweupe.

Hadi leo amejifunza kuwa mwanaume unatakiwa kuwa kimya na kuelewa statements za mwanaume mwenzako badala ya kumchallenge as if wewe ni demu sasa unatetea mademu wenzako.

Hebu kaza misuli hiyo acha kuwa feminist, mtoto wa kiume unakuwa soft na kuattack mwanaume mwenzako anapozungumzia mwanamke wewe unamuwakilisha nani sasa tukikuuliza?

Acha kuwa dhaifu.
Wanaume wengine hua sijui hawajielewi
 
Hebu nipe kitu au vitu vya msingi kushinda ndoa au vilivyopo juu ya ndoa kwa kuvilist tu hapa bila kuelezea deep, nataka kupata ufahamu kupitia wewe, nini ni muhimu ambacho watu wa sasa wanatakiwa kufocus? [emoji848]
Career husika mtu alioichagua inabidi aifanye kwa uwezo wa juu sana na kuwa productive person kwa grade A,

Kuhusu ndoa hata machizi wanaoana, sio big deal sana kuachieve ndoa mzee, ukiamua kuoa/ kuolewa ni easy tu, issue kuoa/kuolewa na soulmate au mtu unaemtaka, sasa hapo ndio watu mnawapa pressure wadada wakubali tu mtu yeyote for the sake of ndoa, life has quality and that quality should be maintained
 
OMBA OMBA
ndio changamoto kubwa!
Hawa ndugu wanafeli Sana kwenye hiki kipengele..
Mtu anakuomba namba saa hii, baada ya saa moja anakupigia simu salamu moja tu unaanza kuonesha njaa zako na utapeli! Mara bando limekata, nywele zinafumuka muda huo huo, sijui mama anaumwa, una hamu na chips/ juice, Mara ooh " babe nkuombe kitu ila samahani lakini usije kuniona mimi napenda hela/mtu wa ajabu"..
Duh mapema yote hiyo?

WANAWAKE/MBINTI WAZURI/WAREMBO Kuweni na haya basi, acheni njaa za kijinga jaribuni kujibalansi kidogo kwanza kwani kabla ya kukutana na huyo mlikuwa mnaishije..?!
Kwa kifupi sisi men huwaona wa ajabu licha ya angalizo mnalotupatia kwa kutanguliza samahani zenu mapema !
Mwanaume makini huona kabisa hapo hakuna mtu bali amekutana tu na demu ambaye hawezi kwenda naye mbali, badala yake anawaza akupate akutumie kwa muda( kama msemavyo) kisha apite hiv!

"HAKUNA MWANAUME ANAPENDA MWANAMKE OMBA OMBA"!
Umeelezea uhalisia kabisa bigup bruh
 
Nilichogundua wanaume wanashabikia sana wanawake kuolewa kuliko wanawake wanavyotaka hizo ndoa. Kila mtu aishi aonavyo sawa.....
Mtu anataka ndoa lkn hajui kula na kipofu,,, first day mwanamke anaanza, Kodi,kusuka,voch , lazima akose ndowa hmm men waivo
 
Shida ni nini?

Mbona kama unaumia kwa bakora anazochapwa mwingine.

Acha tabia za kike hizi. Mwanaume huwa anatuliza kichwa mwanaume mwingine anapokuwa ana address jambo na sio kuingilia na kumkatisha.

Kuna fala m'moja one time alikuwa anajifanya advocate wa madem kama wewe. Alikuja pigwa na kitu kizito akalia sana tukapata taarifa tukamkaanga mchana kweupe.

Hadi leo amejifunza kuwa mwanaume unatakiwa kuwa kimya na kuelewa statements za mwanaume mwenzako badala ya kumchallenge as if wewe ni demu sasa unatetea mademu wenzako.

Hebu kaza misuli hiyo acha kuwa feminist, mtoto wa kiume unakuwa soft na kuattack mwanaume mwenzako anapozungumzia mwanamke wewe unamuwakilisha nani sasa tukikuuliza?

Acha kuwa dhaifu.
Hufirwi??
 
Ndoa ni baraka nasema hivyo Mana unapata mtu wakati ni binti unamtafuta yupo bize na mambo yakidunia... Lkn mwisho wasiku akisha choka na kuzalishwa kashapata kitambi anataka aje atulie na ww,. Kwa kuwa anaona walio olewa mapema wametulia kwenye ndoa zao
Usitudanganye waliolewa mapema woote walishachika,walioolewa jioni ndio wanadumu Hadi kuzikana.
 
Mzee, ndoa ni taasisi ya kawaida ndio ipo way overated, mnaipa umuhimu mno thus why watu wanaishia kupata stress tu,
Mtu anaweza asioe au kuolewa, akapata watoto, akawalea vema, wakawa wakubwa na wakawa na furaha kuliko niny mnaolazimisha taasis ya ndoa sijui ni nin na nin,

Ukiolewa/kuoa sawa, ukiona jau achana nayo, sio kitu cha lazima kuoa/kuolewa, kuna vitu vingi vya msingi hapa duniani kuvifanya ukiachana na ndoa
Sawa tuachane na ndowa... enhee embu nipe ivyo vitu vya msingi vya kufanya
 
Mkuu mimi sijawahi walazimisha watu waoane, walioana kwa plan zao, so I am not responsible kwa maamuzi yao, and mimi nitaendelezaje kizazi au nikiamua kukata kizazi, ni uamuzi wangu, sio kisa kuna watu walikaa wakaamua kuoana so na mm nioe 😂
Basi kama utaki oa..olewa tu mkuu tujue upande uliopo..
 
Napenda sana criticism lakin mkuu, do you think hizi critics ni constructive? Zinajenga? Hata mzazi anafaa kumuadhibu mtoto kitofauti na sio kila siku fimbo.

Sasa kila siku wanaoandika humu ukisoma between the lines ni deep resentment na sio kujengana huku. Hata kama baba zetu, kaka zetu mna mapenzi mema na sisi lakin sio dhihaka zinazoporomoshwa humu kila siku. Na by the way kuna mabadiliko?

Behind keyboards kuna mashauri mengi sana ambayo sioni kama yanakuwa presented rather yanakuwa thrown at us. Na zaidi we unaona mabadiliko huko mtaani? Halafu mnaandika sana humu lakin kitaa mambo ni tofauti sana. Tangu mwanzo Mungu alitaka mwanaume awe kiongozi kwa mwanamke so hata huu uharibifu kuna mahali mlilega..ukweli usemwe.

Utakuta mtu hapa anaponda mwanamke, lakin ukifika kwenye uzi wa kimasihara ana visa 10 na wanawake kadha wa kadha. Mtu huyu huyu kwenye PM katongoza wanawake 10. Ukienda kwenye whatsapp yake anatongoza wanawake 10 na hapo ana ndoa. Tena na watoto wa kike juu. Halafu akija humu anawaasa wanawake (as you term it upendo).

Sasa what is this...if we were genuine then ingeanza na huku mitaani tuone mabadiliko. Wanaume mkiwa sawa wanawake watajishebedua na nani..tutatuliza makomwe ovi....it begins with YOU!!!
Jambo moja unalotakiwa kufahamu hapa tunatoa chanjo na sio tiba kama vile wahenga walivyosema "kinga ni bora kuliko tiba".

Wanawake tunawasema tayari wameshaharibu na kurekebisha au kutatua hili tatizo wana nafasi ndogo sana.

Tunaowalenga ni mabinti chini ya miaka 25 kushuka chini, na hawa wanawake wa kuanzia 26 hadi 30 ndio tunawatia maji kwenye nywele kuwaandaa kisaikolojia na kunyolewa sababu wao ndio next kwenye hili janga wasipojitathimini. Wana miaka 4 tu ya kuamua kuwa wasimbe au wake za watu wenye familia zao.

Na kwa hawa miaka 30 kwenda juu ambao tayari wameshayakanyaga hatuna simile nao huu ndio muda wa nature kutekeleza adhabu yake.

Nani alisema itakuwa rahisi, nani alisema ukichezea usichana wako halafu ukazaa hovyo na kuishi kisimbe jamii itakupongeza?

Hapana, you do the crime you do the time. Kila kosa lina sanctions na adhabu zake. Sehemu ya adhabu ya kuchezea usichana wako na kuwa mfano mbaya kwa mabinti wadogo ni hivi kusemwa kila saa , stress, upweke, kukosa mtu wa uhakika wa kukujali, kukosa upendo, kukosa kiongozi wa kiume katika maisha yako, kukosa mfariji, kutumika kama chombo cha starehe.

Everybody pays for their mistakes. Walevi kuna umri wa kifika wanapata magonjwa ya moyo, ini na figo na masharti ya matibabu ni kuacha pombe mara moja na kwa ulazima.

Wezi kuiba mwisho wake kuna siku inafika atakamatwa na kupigwa kipigo cha ulemavu na hata kuuwawa.

Mwizi za wake za watu mwisho wake ni kuliwa kiboga au na yeye kupata mwanamke atayempenda na kukuta mwanamke wake analiwa nje na kukosa mtu wa kumpenda.

Mtoa mimba mwisho wake ni kutolewa kizazi na kukosa watoto kilele.

Mwanamke mzuri mwenye tamaa za mali huishia kutumika mwili wake na kuzeeka mpweke bila mapenzi ya kweli akiwa na maumivu sana ya kihisia na uzuri ukiisha atateseka zaidi attention itashuka kwa kasi hakuna atakae mshobokea tena.

Kimsingi hapa duniani ukiwa mnyoofu dunia itakupa zawadi, ukiwa mkengefu dunia itakupa adhabu.

So dada usiingilie hii adhabu wanayopata wenzako, kama umri wako bado ni mdogo jitunze, hicho kidude muwekee mumeo tu ndio mgusanishe vidudu vyenu vya kukojolea nje ya hapo tulia.

Kama umepita umri huo basi utavuna matokeo ya mwenendo wako, nothing personal its just nature and Karma doing its thang.
 
Back
Top Bottom