Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Ni maneno tu hayo
Actually hakuna Mwanamke asiyependa KUOLEWA
Ishu ni kuwa nitaolewa na nani
mana mana 90% wote ambao napata bahati kuwa nao katika uhusiano doest meat minimum requirements nazotoka
This inincompatibility issues inawatesa sana nyinyi mnaokimbilia 30s

Kwa sasa market value ni vitoto vya 2003 2004
Hata vitoto vya 2000 now vishakuwa used
Sembuse nyie wa ealy 90s na mid 80s
Mtasugua GAGA sana tu si mlikuwa mnalinga wakati wenu

Umri sahihi wa kuolewa mwanamke na kuazisha FAMILIA ni kati ya miaka 18 mpk 22 umechelewa sana kwa 7bu za kimasomo basi 25 na hapo tayari ukiwa umeshamtengeneza mume wako tangu ukiwa Age 20 hii ni kwa sababu MUME sahihi kwako lazima awe amekupita kati ya miaka 5 mpk 10(best zaidi 10 kuendela)
Hii itawasaidia wote kudance Tune aina moja so misukosuko mingi ya NDOA mtapambana nayo
Kutokana na ukomavu wa AKILI ya mwanaume
Na mabadiliko ya kimwili kifikra ya mwanamke
7bu 90% wanawake wakishazaa akili HUPEVUKA zaidi sasa ukiwa umezaa katika NDOA na mume akawa anakurutubisha na MANII zake lazima uwe MKE BORA na MAMA BORA kwa watoto wako



What You put inside is what you going to see outside later that damage you do in 20 you are going to see after 35
What goes in your brains in 20 also what you put on your mind and what you think it's is what your determine out come that you're going to have in your life
Because what You read or you fall in love is what your brain going to be focused
So if You focused of something bad like violence KATAA NDOA or bad friendship or unsuccessful love or whatever it's going to bring you down that's is going to make your age very fastView attachment 2947669
JF waweke kitufe cha kuweka ujumbe mzuri uwe wa kwanza kusomwa na kila mtu hata kama ni WA 120 kama huu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Me ninavyojua kwa dunia ya sasa sidhani kama wanawake wanataka ndoa ila Nafikiri wanataka soko na wateja wengi... Maana wanataka kuwa financial secured & independent ndo maana wengi wao kwa sasa wana-focus kujitengenezea mionekano chambo ya kunasia samaki wajichukulie vibunda vyao kwa wajinga kisha wakaishi zao vizuri... Na ndo maana pia single mama life style imetaradadi now days... This is because kuishi nae sio muhimu sana kwake kuliko unacho-produce.
Hamna mwanamke anaye penda kuwa single mother, hayupo ni shaongeaga na single mother kibao. Mwanzoni hujivika ujasiri ambao ni fake,ila baadae mioyoni mwao wanakiri na kuumia. Mimi kuna mtu 55+ mzima alishakiri ugumu alio upitia wakati akilea mwenyewe,mbele yangu na kasoma ni Meneja anajua kuitafuta hela.

Sema tu na vijana wengi wa kiume wa siku hizi,hawajui kubeba majukuu yao wana kazi ya kujisifia ujinga na ufundi wa kitandani. Single mother kweli wana matatizo yao, ila wanaume tuna matatizo yetu sometimes huwaga tunakosea kuwabebesha lawama wanawake pekee yao.

Single parenting haijawahi kuwa nyepesi ni ngumu plus stress na hela hazilei mtoto hata siku moja,kuna wazazi wana hela ila watoto wao wana tabia mbovu ambazo zina waumiza wakikaa na kufikiria wanaliona gap la mzazi mmoja kwa mtoto wake.

(Kwa wanao amini) huyo Yesu mwenyewe kipindi anazaliwa,Yusuph alimkimbia Mariam ,ila Mungu alimsihi Yusuph arudi kulea mtoto pamoja na Mariam. Sasa hapo ujiulize kwani Mungu alishindwa kumlea na kumkuza Yesu.Hapo ndipo ujue hata Mungu alikuwa anataka kutuonyesha umuhimu wa mtoto kulelewa na wazazi wote na familia ndio lengo moja wapo la ndoa.
 
Kwan ndoa lazima? Huko kwenye ndoa wanagawa mishahara au... Uolewe ukapike, ufue ,Bado uwe na akili za kushauri Ili mfike mbali, uvumilie manyanyaso ,usaliti ,uzae, ulee.. kwa mahari ya milioni mbili na nusu..... Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu SIO LAZIMA KUOLEWA
Mwanamke akiolewa amesitirika lkn akiwa hajaolewa Kuna namna jamii humtazama kwa jicho la tofauti
 
upgrade your levels bro. Mwanamke kama una nia nae 10k sio ishu ya kumkazia. Actually ilipasa umpe hiyo pesa, ili awe assured kua ana mwanaume ambae anaweza kumjali anapokua amekwama. Labda kama angeomba milioni au malaki kadhaa ndio ungemkaushia. Lakini 10k!!! Dah! Jitafute bro.

Then, jenga desturi ya kumhudumia mwanamke wako kutokana na mahitaji yake ya muhimu bila yeye kukuomba, cha msingi usivuke kiwango. Baada ya hapo anza kumbania sasa, ili ajue kuna kupata na kukosa huku ukiwa unatest uvumilivu wake.

Unaweza kujikuta unakosa 'wife material' kwa vitu vidogo mno. Kumbuka kizazi chetu ni tofauti na wazee wetu. Tupo katika totally a very different generation with different priorities!!!
Nimekupata bro,

Ila mm ni muhanga nilikuwa namuhudumia mwanamke ambaye anampenda mwanaume mwingine lkn huyo mwanaume mwingine yy Hana mda nae.

Unajuwa ilikuwaje...

2015 nilikuwa kidato Cha 3, lkn nilikuwa the best kwenye masomo yangu hasa Mathematics, hivyo nilikuwa nafundisha wanafunzi wenzangu wengi ikiwemo na yy tena yy nilikuwa namfundisha kwa nguvu kubwa sana, sometimes nilikuwa nakwambia kuwa nampenda kipindi hicho.

2016 nilimaliza kidato Cha nne nikatoka Moshi kwenda arusha kukimbiza harakati za hapa na pale nikisubiri majibu ya 4m4 nikawa nawasiliana na yy kupitia cm ya mama yake hata alipokuja kuwa na simu nimeishi kumsihi nampenda lkn naambulia patupu.

Tangu kipindi hicho adi mwaka huu mwez wa pili mwishoni nimekuwa nafukuzia bila mafanikio. Amekuwa akiumwa nagharamia mm, akiwa na shida yoyote napambana nayo, nememununulia simu, kiujumla gharama alizokula kwangu ni Kama 1.5 hivi, Ila dakika za mwisho amekuja kunichana kuwa anajaribu kunipenda Ila anashindwa kunajamaa anampenda lkn huyo jamaa hampi nafasi na washakuwa kwenye mahusiano Ila kwa Sasa haelewi

Embu ona bro ukipitia hayo unaeza mpa mwanamke hata vocha ya buku kweli?

Hapo Ana mika 25 Sasa, anasubiri umri uende aote kitambi ndo anitafute

Siwezi mptumia mwanamke hata 500
 
Tatizo mtu anaringa Ana miaka 22 anakuja kubutuka Ana miaka 32 anataka mume na kashachafua status kwa kupiga vizinga na kukataa husband material
Kwani Broo??umekabidhiwa majukumu na serikali uwalishe,,uwavishe na uwape malazi??Mbona unalalama mnoo Kwa yasiyo kuhusu,,Kila MTU na maisha yake,,usilazimishe fikra,,mitazamo,,na maono yako kwenye maisha ya wengine utapoteza muda kama si uhai
 
Tatizo mtu anaringa Ana miaka 22 anakuja kubutuka Ana miaka 32 anataka mume na kashachafua status kwa kupiga vizinga na kukataa husband material
Mpaka anafika miaka30 katiwa tiwa wewe mpaka K imeota sugu na kupanuka kama kisima, itabidi wanaume tukae kikao baada ya pasaka tujiwekee sheria kuwa ni marifuku kuoa mwanamke aliyezidi miaka 25, alikuwa wapi.
 
Mkuu hii thread yako tuu kuna majibu ya wanawake hapa naona tayari wako na hasira sana. Thread umetoa wewe ila wao ndiyo wana hasira ya kufa mtu, mara kuolewa kwani lazima mfano majibu ya Demi na Evelyn Salt
Kama hamjapenda huu uzi au hamna cha kuchangia kaeni kimya ma siyo kumponda jamaa na uzi wake, mnaonesha kabisa mna hasira na majibu ya kijinga.
Usikute wana stress za kutokuolewa, tuliosoma Cuba tunaelewa, na majibu yao mabovu ndo yamesababisha wasiolewe.
 
Mpaka anafika miaka30 katiwa tiwa wewe mpaka K imeota sugu na kupanuka kama kisima, itabidi wanaume tukae kikao baada ya pasaka tujiwekee sheria kuwa ni marifuku kuoa mwanamke aliyezidi miaka 25, alikuwa wapi.
Yani kipindi Ana 20 adi 22 anakukataa anatoka na wazee akifikisa 29 wazee washa chakaza, hata upewe upati mzuka
 
U
Kama huyo To yeye ni single mother kiburi na jeuri vilifanya aachwe na bwanake kabaki analea watoto 3

Wanawake sio wa kuwatetea kabisa naunga mkono hoja
Usikute watoto watatu kila mmoja na baba yake, kwasababu ya kuachwa na kila mwanaume kwa ujeuri, Mfalme Suleiman alikuwa na wanawake elfu moja, ni mtu mwenye experience na wanawake tofauti tofauti kuliko wanaume wote hapa duniani, methali 25:14 inasema "ni bora kukaa kwenye pembe ya darini kuliko kuishi na mwanamke mgovi" sasa kama hata Suleiman mwenyewe (Profesa wa kuoa) mwanamke mgovi alishindwana nae, mimi na wewe ni akina nani ndugu?
 
Back
Top Bottom