Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

upgrade your levels bro. Mwanamke kama una nia nae 10k sio ishu ya kumkazia. Actually ilipasa umpe hiyo pesa, ili awe assured kua ana mwanaume ambae anaweza kumjali anapokua amekwama. Labda kama angeomba milioni au malaki kadhaa ndio ungemkaushia. Lakini 10k!!! Dah! Jitafute bro.

Then, jenga desturi ya kumhudumia mwanamke wako kutokana na mahitaji yake ya muhimu bila yeye kukuomba, cha msingi usivuke kiwango. Baada ya hapo anza kumbania sasa, ili ajue kuna kupata na kukosa huku ukiwa unatest uvumilivu wake.

Unaweza kujikuta unakosa 'wife material' kwa vitu vidogo mno. Kumbuka kizazi chetu ni tofauti na wazee wetu. Tupo katika totally a very different generation with different priorities!!!
Hilo nalo ni neno, ahsante sana mkuu.
 
U

Usikute watoto watatu kila mmoja na baba yake, kwasababu ya kuachwa na kila mwanaume kwa ujeuri, Mfalme Suleiman alikuwa na wanawake elfu moja, ni mtu mwenye experience na wanawake tofauti tofauti kuliko wanaume wote hapa duniani, methali 25:14 inasema "ni bora kukaa kwenye pembe ya darini kuliko kuishi na mwanamke mgovi" sasa kama hata Suleiman mwenyewe (Profesa wa kuoa) mwanamke mgovi alishindwana nae, mimi na wewe ni akina nani ndugu?
NAKAZIA
 
Hebu acheni watu waishi maisha yao.....kuolewa kuolewa, kuolewa kwenyewe nini sasa??? Kuosha vyombo, kupikia watu, kufua na kugombana na ndugu??? Hebu huko....😏😏
Mbona umeandika kwa hasira na hisia sana ,je wewe ni single mother nn? @ Evelyn salt
 
Mm sielewag why mtu unapata nafasi ya kumsema ntu hajaolewa/oa, au kusikitika kisa hujaoa/olewa as if hayo ni mafanikio makubwa, br kuoa au kuolewa ni easy tu, hadi machizi wanaoa na kuolewa, sio big deal kabisa
Karibu kufikiria nje ya box kabla ya kuandika... Hujui dadazetu wanayoyapitia mitaani
 
Back
Top Bottom