Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Hebu acheni watu waishi maisha yao.....kuolewa kuolewa, kuolewa kwenyewe nini sasa??? Kuosha vyombo, kupikia watu, kufua na kugombana na ndugu??? Hebu huko....[emoji57][emoji57]

Ndoa hata sio ayo uloyataja, apo umetaja mapenzi ya mtu binafsi kwa mtu wake, ndoa ni jambo kubwa sana na muhimu kwa maisha yetu kama wanadamu kama mtu ukilielewa. Kwa zama hizi ni kheri mtu usioe na wala usiolewe, maana hakuna mwanaume wala mwanamke anayejielewa kuishi ndani ya utakatifu wa ndoa.
 
Yan hata bado upako wa Holy Eucharist haujanitoka mnanikutanisha na vileo 😂😂😂😂

BTW mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako.. Live long mvinyo 😆
Haha..
Jamaa kasema kabisa aliacha mchumba sababu ni wale wanakaa mezani na Fanta wanafukuza nyuki..

Sisi 'wapendwa' tunashukuru Mungu katupa wa kufanana nasi..
 
Ni wanawake wanasemwa sana wakiwa single, sio wanaume

Ni ubaguzi wa kijinsia, ni kama vile watu wanaamini mwanamke hajakamilika bila ndoa
Ni mwanaume anayeitwa dume suruali akiwa hanapesa na si mwanamke kuitwa jike sketi.....Huu sio ubaguzi wa kijinsia kwako.

Mwanaume jifunze kusimama na wanaume wenzako sikuzote mzee sio kubeba hoja za ki feminist
 
Ni mwanaume anayeitwa dume suruali akiwa hanapesa na si mwanamke kuitwa jike sketi.....Huu sio ubaguzi wa kijinsia kwako.

Mwanaume jifunze kusimama na wanaume wenzako sikuzote mzee sio kubeba hoja za ki feminist
Ingekuwa mada inaongelea wanaume wasio na hela ungekuwa sahihi

Muktadha Muktadha Muktadha.
 
Ingekuwa mada inaongelea wanaume wasio na hela ungekuwa sahihi

Muktadha Muktadha Muktadha.
Ndio uelewe mantiki, mada ngapi humu zinazungumzia mwanaume asiye na pesa, reply ngapi humu za wanawake wakina toyeye wanawakandika wanaume wasio na pesa, so haya mambo kwa zamu ikifika zama ya kukandiwa mwanamke single mother, asiye na tako, mnuka k nk pia ukae kimya.

Jua point to attack and point to defend

mwanaume ni financial Being kama hana pesa lazima maisha ayaone machungu pamoja na kusemwa dume suluari nk

Mwanamke ni Biological Being akishuka kibailohia kama umri kwenda ajaolewa lazima dunia aione chungu pamoja na kusemwa msimbe nk

Nachoshangaa wewe unasimama upande wa wanawake na ni mwanaume ikifika muda wa kuitwa dume suluari hakuna mwanamke atasimama na wewe
 
😂😂😂
Nashukuru umeliona hilo suala hubby, mwenyewe limeniumiza sana kwa kweli..!!
yote kwa yote spooning iheshimiwe au sio sis? Wanasema inapunguza stress eti..
images (43).jpeg
images (42).jpeg

Tulio long distance tunajibeba ni mwendo wa mto au kujikunyata kama kambale.
 
Sababu nyengine ni kuwa na wanaume wengi.

HAKUNA MWANAUME ANAWEZA OA DEMU MWENYE KIKOSI CHA WANAUME.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hyo ni kweli kabisa... Nilisha wahi ona demu alitakiwa kutoka Moshi kwenda kwa mumewe dar lkn ilibidi alale gest na mwanaume mwingine anaempenda Kama kumuaga tuu.... Mumewe alipokuja sanuka ndoa iliishia hapo hapo
 
Back
Top Bottom