Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
145
310
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni sababu kadhaa zinazosababisha wadada kuto kuolewa mapema:-

KURINGA
Hapa unapata boy anamtafuta binti lakini binti analeta machejo, anamtumia text haujibu Whatsapp Ana blue tick anakausha, Yani namba Yako anakuwa kaisev kuongeza Bowers status.

OMBAOMBA
Hii acha niwaelezee kimfano kabisa, hivi karibuni nilikutana na mdada mumoja mkali Sana nikachukuwa namba tukawa tunawasiliana nikatupia ndoano akanasa lkn kabla hatujaonana Mara ya pili ndo kwanza tuna siku tatu tuu eti mdada ananiomba nimkopeshe 10k, niliposema Sina akapotea haujibu text tena Wala kupokea simu. Baada Kama ya siku tatu Nika deshi nataka namba ya kumtumia akajibu nilipiga chini sikuwa na msalie mtume.

Embu eleza na ww sababuunazo zijuwa zinazofanya wadada wachelewe kuolewa pindi ukisoma thread hii, nikisema nizimalize zote ntakuwa sijafanya powa elezea kinaga ubaga ili tusaidie wadada wetu mitaani. Maana unakuta mdada was 1995 hajaolewa mtoto wa 2000 kaolewa ni aibu na lazima spare stress.
 
Kuolewa wasiolewe wengine machungu wapate wengine.
Ndoa ni baraka nasema hivyo Mana unapata mtu wakati ni binti unamtafuta yupo bize na mambo yakidunia... Lkn mwisho wasiku akisha choka na kuzalishwa kashapata kitambi anataka aje atulie na ww,. Kwa kuwa anaona walio olewa mapema wametulia kwenye ndoa zao
 
Ushaambiwa hapo juu kama kuolewa ni mafanikio olewa wewe
Huyu anae Kesha kuomba kuolewa ni mumoja Kati yao

Screenshot_20240328-185418.png
 
Back
Top Bottom