Wanawake Wana roho ngumu mno

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,240
Reaction score
6,607
Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba

Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.

Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...

Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.

Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock

Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..

Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!

Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
 

 
Sasa hapo ukatili wake ni nin??
Ukifanya wewe mwanaume inakua sio ukatili?? haya mambo yapo na hayana jinsia sijui wanawake ni katili au ni wanaume ni katili
Naona kesi za wanawake ni nyingi inamaana wanaume nyie mnaonewagwa tu ni nyinyi tu ndo victim mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…