Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Haswaa.... ndivyo tulivyo, hatuna usumbufu siye lol!
Kweli kabisa mi ndo maana nawapenda sana
Haswaa.... ndivyo tulivyo, hatuna usumbufu siye lol!
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.
Kweli kabisa mi ndo maana nawapenda sana
Hatuna shida siye, tukiamuaga hata out tunawatoa
Mashati tunawanunulia, vyupi n.k
Bado hujakua, ukigonga 30s kisha 40s utaelewa tunacho zungumza hapa, sie tunazungumza kutokana na uzoefu
ha ha haaaa, life starts at 40, lol!Heee...we chezeya sio square one ila ni a different experience kabisa @FP
Hahahaha nimewahi nunuliwa over size nikaulize sweet vp mbona kubwa akanijibu alisahau alipima kiuno chake
Nafanyaje kujiongeza?Jiongeze tu
Mpwa ulienda kupunguza size?
Aahahahahhh.... sasa ilikuwaje au mliiweka hadi ulipoongezeka kiuno?
Kumbe eee ngojea nifanye jitihada za kutafuta 30'S sijawah kutoka na umli huo..Huwa nacheza sana kwenye 20'S nimekuwa insipired na sifa hizo sifa sasa natangaza rasmi kuingia mawindon
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums