Kaizer umeanalyse vizuri sana na inaweza ikawa kuna ukweli ndani yake.
Ila nashangaa kwa nini nyie 40's mnaongoza kuwataka hizo 20's pamoja na hayo yote hayo????
Tutakosa soko, nimeshtukia mchezo wa Kaizer
Ndugu yangu, hata uleje ugali, vikaranga vina nafasi yake
Japo huwezi lala kwa kula karanga tu
Tena aniwache kabisa, mie niko 30 kamili ujue?
"Any object, wholly or partially immersed in a fluid, is buoyed up by a force equal to the weight of the fluid displaced by the object".
View attachment 94504=
Age is just a number bana,vi chicken spring vina raha zake........kakurukie rukie kakutekenyetekenye......we acha bana gari bovu halivuti gari bovu lenzake........mambo yote nido sa sita.
Kopi: warembo wote wa cbe,ifm na mabibo hostel.......bishanga anawapa hi tukutane ambrosia weekend.
swali kwa nini hao ma 30's wanajirudiha miaka nyuma???
iyo ya appointment inakera sana mtu anakuletea timu ya basketball kwenye appointment, mademu wengine bwana
Kweli kabisa, kama ana dharula anakutaarifu mapema "...dear kuna mgonjwa amezidiwa tunamwaisha hospital saizi, nivumilie nikutoka hospital...." wewe unakuwa na amani huna hofu kabisa
Yeah walisha vuka milima na mabonde wanavumilia shida na raha, wapo radhi washindie mihogo au sumu na misumari ili mpenzi wake apige Kinana japo mbili.
atii macho juujuu mbavu zanguKaizer mi nahisi hayo mengi yanatokana na mdada mwenyewe....yan kuna wengine wakiwa kwenye shughuli wanakuwa macho juujuu km tochi...unadhani atafika kileleni?
Kuna wadada wana pozi bhana yan akiguswa tu kalegea lol
Umri haumati sana.
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.
Hehehehee Mwanawalwa cheka bhana ila hatuwasemi mwaya!atii macho juujuu mbavu zangu
hivi na wanaume wa below 30 wapoje ankal? nataka nikutaftie mkwe ila sijui nichague sharo au kibabu.
Ninyi hamjui na hamjajua!
Arifu mleta sredi kakorofisha kwa Ngina, tena vurugu la nguvu. Halafu kutuliza munkari katengeneza
Tasnifu yenye ukweli ndani yake, lakini ambayo inamlenga Mama Ngina in positive way.
BTW turudi kwenye topic. Hivi Madame B ni 30s au 20s? Maana hilo purukushani lake kama kigori.
Nimejionea mwenyewe
Du Erick hawa ndio under 20
[*=1]Huwa havikojoi (kufikia mshindo)
[*=1]Huwa mpaka vikawaelezee wenzake na wanaume wakiwemo kuwa vimepata buzi
[*=1]havitulii kitandani vikitaka kuonyesha Marufundi, mwisho wa game vinakosa kila kitu
[*=1]Ukianza shusha magunia vinachomoa, ili umwage nje kuepusha mimba
[*=1]Havijali ukimwi vyenyewe ni pesa tu
Dada yangu lara 1 kama hujafika hata 30 basi umekosa ya Dunia kwani msichana akifikia angalau 26 ndio naye anarusha vimaji kidogo. Nakumbuka enzi za Kisutu na redenter ni lazima kanguo ka mchina kaonekane